Uganda Airlines destinations>>>London, Dubai, Johannesburg, Dar, Nairobi, Bujumbura, Juba, Mogadishu, Abuja, Harare, Kilimanjaro, Kinshasa, Lusaka, Mombasa, Mumbai, Zanzibar, Entebbe na Lagos**
View: https://m.youtube.com/watch?v=ewuU3-U0cq0&pp=ygUPdWdhbmRhIGFpcmxpbmVz
1. Hivi Marketing Department ya Air Tanzania inaongozwa na Nani?
2. Hizi kazi wanapeanaje? Siasa Siasa Siasa. Hivi Sisi NI wa kushindwa na Uganda kweli?
Hopefully wanamaanisha Congo DRC hukoLUBUMBUSHI ni wapi huko?
Wamekosa Umakini kiasi hicho?Hopefully wanamaanisha Congo DRC huko
Hahaha.........nafikiri typing errorWamekosa Umakini kiasi hicho?
Sure. Pale ATC napo kumejaa wazawa wasio na exposure ya aviation industry/business. Kuna ubaya gani kutafuta mtu mwenye uzoefu popote Duniani?Hahaha.........nafikiri typing error
Muhimu hapo ni kwamba wenzetu Uganda wametupiga gap Kwa kuanzisha safari za London Moja Kwa Moja
Sisi ukitaka kwenda London lazima utatumia Ndege za mashirika mengine kama vile Emirates, Ethiopia airways n.k
Niliwahi kushauri sehemu fulani kwamba hawa Viongozi wa haya mashirika wanapaswa wasjiriwe Kwa kuangalia merits zao kwenye Taasisi pamoja na kupewa KPI za malengo na matarajioSure. Pale ATC napo kumejaa wazawa wasio na exposure ya aviation industry/business
Uganda Airlines wameajiri mtu wa Marketing toka Nigeria anayeelewa soko la West Africa na duniaNiliwahi kushauri sehemu fulani kwamba hawa Viongozi wa haya mashirika wanapaswa wasjiriwe Kwa kuangalia merits zao kwenye Taasisi pamoja na kupewa KPI za malengo na matafajio
Na ingefaa mikataba yao iwe ya miaka miwili miwili ili inapotokea anashindwa kufikia malengo na matafajio ya Taasisi aliyowekewa na Serikali basi aondolewe
Vinginevyo tunakwenda kuyaua mashirika yetu wenyewe kupitia hawa Viongozi wanaoteuliwa na Rais Kwa kuangalia kama ana Kadi ya Chama
Sisi tungeajiri hata mtu wa Masoko kutoka India angetufaa sana kutusogeza mbeleUganda Airlines wameajiri mtu wa Marketing toka Nigeria anayeelewa soko la West Africa na dunia
Wanajua Mhindi atakataa ndege kubeba makada na Wasanii wa bongo movie bureSisi tungeajiri hata mtu wa Masoko kutoka India angetufaa sana kutusogeza mbele
Kama hivyo ndivyo aliyeturoga kafaWanajua Mhindi atakataa ndege kubeba makada na Wasanii wa bongo movie bure
Uganda Airlines destinations>>>London, Dubai, Johannesburg, Dar, Nairobi, Bujumbura, Juba, Mogadishu, Abuja, Harare, Kilimanjaro, Kinshasa, Lusaka, Mombasa, Mumbai, Zanzibar, Entebbe na Lagos**
View: https://m.youtube.com/watch?v=ewuU3-U0cq0&pp=ygUPdWdhbmRhIGFpcmxpbmVz
1. Hivi Marketing Department ya Air Tanzania inaongozwa na Nani? (LUBUMBUSHI ndio wapi?)
2. Hizi kazi wanapeanaje? Siasa Siasa Siasa. Hivi Sisi NI wa kushindwa na Uganda kweli?
Wana brand new A330 neo.Duuh kumbe Uganda wana ndege na hawasemi? Ingekuwa Kizimkazi & co mpaka sasa mabango yangekuwa mpaka majumbani
Kumbuka kesho kutwa tuna safari ya Adis Ababa Ethiopia so laziam tufanye hima.secretarybird nakungoja tuwahi ku check in, muda unakaribia
Tule nyumbn kabisa sina hela ya kununua chakula Cha airportKumbuka kesho kutwa tuna safari ya Adis Ababa Ethiopia so laziam tufanye hima.
Chkula Cha airport ni ghali sana, we imagine ndazi Moja ni Tsh 1500/=.Tule nyumbn kabisa sina hela ya kununua chakula Cha airport