Uganda Airlines waanza Route London (Non-Stop) Vs Air Tanzania?

Mi sijawahi kupanda ndege mwaya 😥😹😹

Hapo bao cafe wanasema eti maji elfu 10 🤣
Bora ninywe maji huku huku tandale nikifika, ni mimi na washroom

Huwa nikipanda treni za Moshi Arusha nakula vyakula affordable mtaani nashiba kule ni kunywa tuu 🍺🍺 mpaka nafika 😂
 
Kumbe na wewe Mangi?
Wachaga mpo wengi sana humu ndani, ndiomana mtata sana..!! 😹😹

Nikikumbuka vile vichambo vyako nacheka sana..!!
 
Yaan Kuna watu wanakwaza sana 😂

Imagine kuna sehemu nilikuwa bhn nasimamia duka moja hivi

Akija huyo mzee anauliza shngp analipa direct hata hasemi discount,

Akija mkewe anavyo Lia, afu Kuna wale watu wana sauti za malalamiko , naona kama anatia balaa huyu inabidi nitulie,

Yaani unakuta umenunua kitu Tena nje kabisa makodi yalivyo mengi, bado biashara yenyewe inavyopoa wakati mwingine afu mtu anakuja ooh bei kubwa, mbn sijui nn mara vile khaaa! kama huna omba tuu nipunguzie mm naelewa mpk nauza hiyo bei najua nime target how much?

Mijitu ya humu matajiri wa mtandao ukienda physical ni fanya kama unaona 😂
 
😹😹😹 ulivyomalizia sasa.!! Eti matajiri wa mtandao..!!
 
ATC waliifanyia Figisu fast jet ikafa ili wachukue soko la ndani sasa limewashinda kabisa, Wanasubiri akija mwingine kwa tecnic za Fast jet waanze tena figisu
Hata sijui lini tunatoka usingizini tukatafuta marketing manager wa Viwango tukaachana na hawa wa kukopy na kupaste hata vilivyopitwa na wakati...
Kwanza marketing manager wa Viwango (sio wa haya mashirika yanayopumulia mashine) sioni kama ni vigumu sana kumpata Kwani mshahara wake unategemea na kufikia target hata akitaka $25,000 kwa mwezi ni sawa tu, kama ataweza kuizalisha na kufikia target tatizo liko wapi?; na asipo fika target anaondoka tunaleta wengine....hadi apatikane wa kulipaisha shirika...
Lakini pia, lazima tukubali shirika liendeshwe kibiashara na pengine Serikali ichukue kabisa ndege yake moja ili kusiwe na ukinzani wa kisiasa ....
 
Back
Top Bottom