Tonny Kapola Gas Station
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 1,023
- 3,334
Ndege za Air Tanzania haziruhusiwi kutuma katika viwanja cha jumuia ya Ulaya. Wataruhusiwa wakikidhi masharti ya kiusalama.ATC wana mpango wa kuanza route ya Dar <> London, kuna siku kadhaa nyuma nilisikia hiyo maneno...