Uganda Airlines waanza Route London (Non-Stop) Vs Air Tanzania?

Air Tanzania imekuwa ni kampuni ya Samia ya kuchagua ndege za kutanua nje ya nchi. Si muda utasikia amewapa waarabu waendeshe.
 
ATC baada ya Shujaa kufa imekua kama ya mtu binafsi
 
Wamekosa Umakini kiasi hicho?
Hahaha.........nafikiri typing error

Muhimu hapo ni kwamba wenzetu Uganda wametupiga gap Kwa kuanzisha safari za London Moja Kwa Moja

Sisi ukitaka kwenda London lazima utatumia Ndege za mashirika mengine kama vile Emirates, Ethiopia airways n.k
 
Hahaha.........nafikiri typing error

Muhimu hapo ni kwamba wenzetu Uganda wametupiga gap Kwa kuanzisha safari za London Moja Kwa Moja

Sisi ukitaka kwenda London lazima utatumia Ndege za mashirika mengine kama vile Emirates, Ethiopia airways n.k
Sure. Pale ATC napo kumejaa wazawa wasio na exposure ya aviation industry/business. Kuna ubaya gani kutafuta mtu mwenye uzoefu popote Duniani?
 
Sure. Pale ATC napo kumejaa wazawa wasio na exposure ya aviation industry/business
Niliwahi kushauri sehemu fulani kwamba hawa Viongozi wa haya mashirika wanapaswa wasjiriwe Kwa kuangalia merits zao kwenye Taasisi pamoja na kupewa KPI za malengo na matarajio

Na ingefaa mikataba yao iwe ya miaka miwili miwili ili inapotokea anashindwa kufikia malengo na matarajio ya Taasisi aliyowekewa na Serikali basi aondolewe

Vinginevyo tunakwenda kuyaua mashirika yetu wenyewe kupitia hawa Viongozi wanaoteuliwa na Rais Kwa kuangalia kama ana Kadi ya Chama
 
Uganda Airlines wameajiri mtu wa Marketing toka Nigeria anayeelewa soko la West Africa na dunia
 
Kumbukeni hizo ndege zinatumiwa na watawala kuzunguka mikoni kumsifia mama, kuna nyingine inazunguka kumnadi Janabi Afrika.

Ukiziweka kwenye safari za kibiashara tutalazimika kukatisha safari kila siku ili kuruhusu wataeala kutumia hizo ndege.

Tatizo jingine tuna madeni huko nje lucha ya kwamba tunajitahidi kujalipa, kuna hatari ndege kushikiliwa na wadeni huko nje.
 
Duuh kumbe Uganda wana ndege na hawasemi? Ingekuwa Kizimkazi & co mpaka sasa mabango yangekuwa mpaka majumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…