Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Usiniambie na uchaga huu naweza zimia ππChkula Cha airport ni ghali sana, we imagine ndazi Moja ni Tsh 1500/=.
Ni ngori!
Hapo ni andazi tu hujaja kwenye wali maharagwe!!Usiniambie na uchaga huu naweza zimia ππ
Lamomy msosi shngp hapo bao usinichambe maake huchelewi π
Bora Nile zangu huku tandale nishibe aseeh nakuja hapo na maji kabisa choo ni bure πHapo ni andazi tu hujaja kwenye wali maharagwe!!
Ukifika airport ni mwendo wa kutokwa na faranga, hakuna cha bure kule.Bora Nile zangu huku tandale nishibe aseeh nakuja hapo na maji kabisa choo ni bure π
Umenikumbusha KBC Taifa sauti ni ya mkenya π baada ya saba taarifa ya habari, watasoma taarifa ya ubadilishanaji wa fedha za kigeniUkifika airport ni mwendo wa kutokwa na faranga, hakuna cha bure kule.
Yeah, kabisa kabisa.Umenikumbusha KBC Taifa sauti ni ya mkenya π baada ya saba taarifa ya habari, watasoma taarifa ya ubadilishanaji wa fedha za kigeni
Unasikia Hilo neno Faranga moja imenunuliwa na kuuzwa kwa
Bora ninywe maji huku huku tandale nikifika, ni mimi na washroomMi sijawahi kupanda ndege mwaya π₯πΉπΉ
Hapo bao cafe wanasema eti maji elfu 10 π€£
Kumbe na wewe Mangi?Bora ninywe maji huku huku tandale nikifika, ni mimi na washroom
Huwa nikipanda treni za Moshi Arusha nakula vyakula affordable mtaani nashiba kule ni kunywa tuu πΊπΊ mpaka nafika π
Yaan Kuna watu wanakwaza sana πKumbe na wewe Mangi?
Wachaga mpo wengi sana humu ndani, ndiomana mtata sana..!! πΉπΉ
Nikikumbuka vile vichambo vyako nacheka sana..!!
πΉπΉπΉ ulivyomalizia sasa.!! Eti matajiri wa mtandao..!!Yaan Kuna watu wanakwaza sana π
Imagine kuna sehemu nilikuwa bhn nasimamia duka moja hivi
Akija huyo mzee anauliza shngp analipa direct hata hasemi discount,
Akija mkewe anavyo Lia, afu Kuna wale watu wana sauti za malalamiko , naona kama anatia balaa huyu inabidi nitulie,
Yaani unakuta umenunua kitu Tena nje kabisa makodi yalivyo mengi, bado biashara yenyewe inavyopoa wakati mwingine afu mtu anakuja ooh bei kubwa, mbn sijui nn mara vile khaaa! kama huna omba tuu nipunguzie mm naelewa mpk nauza hiyo bei najua nime target how much?
Mijitu ya humu matajiri wa mtandao ukienda physical ni fanya kama unaona π
Yaan humu Kuna watu story zao na majigambo ya utajiri wa mtandao nje ya hapo saa hz wanapiga miayo tuu ππΉπΉπΉ ulivyomalizia sasa.!! Eti matajiri wa mtandao..!!
Watu wana mawe shauri yako πΉπΉYaan humu Kuna watu story zao na majigambo ya utajiri wa mtandao nje ya hapo saa hz wanapiga miayo tuu π
sikatai wapo lakini najua msururu wa walalahoi na mimi umejazana hapa πWatu wana mawe shauri yako πΉπΉ
Hivi Air Tanzania bado ina zile safari za kwenda China? π³Uganda wataanza kwenda US Sisi tumezubaa tu
Matajiri mshaanza kujifananisha na sisi choka mbaya..!! πΉsikatai wapo lakini najua msururu wa walalahoi na mimi umejazana hapa π
Kuna huyu rich aunt BICHWA KOMWE mwizi wa wazee wa wenyewe... Sema halaaaa πMatajiri mshaanza kujifananisha na sisi choka mbaya..!! πΉ