Uganda Airlines waanza Route London (Non-Stop) Vs Air Tanzania?

Kitu inatua London
 
Kitengo cha marketing ATCL wanakwama sana
 
Safari ya nje ya air Tanzania hapo ni mbili ya China na India tuu 😂
 
ATC wana mpango wa kuanza route ya Dar <> London, kuna siku kadhaa nyuma nilisikia hiyo maneno...
Wamepigwa stop kwemda Ulaya maana ndege zake hazijatimiza vigezo vya kuweza kupaa anga la ulaya.
 
Chkula Cha airport ni ghali sana, we imagine ndazi Moja ni Tsh 1500/=.

Ni ngori!
Nilikula sambusa mbayaa tatu kwa 7500, hata sikumaliza.
Vibia pale juu 4500-5000 kamoja.
Mi huwa nazitwanga pale uswazi njia panda, nagonga na kitimoto safi na ugali ndio naelekea Check in niko fit sana.
Pale mswaki moja basi nikizama mule kwenye pipa whisky mara 2 then mbonji tu hadi waniamshe najua tumefika salama.
 
Kabisa mkuu 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…