Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Buyende, Muhammad Kirumira pamoja na mkewe wauawa na Watu wenye silaha usiku wa kuamkia leo
> Tukio hilo limetokea eneo la jirani na nyumbani kwake huk Bulega katika Wilaya ya Wakiso
> Wauaji walitumia usafiri wa Pikipiki kulifuatilia gari ya Kamanda huyo
====
Gunmen have reportedly shot suspended Buyende District Police Commander Muhammad Kirumira and his wife.
The couple who were driving in the family car were reportedly shot near their home in Bulenga, Wakiso District.
The attackers were riding on a boda boda
