UGANDA: Aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Buyende apigwa risasi

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
latest00pix.jpg

Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Buyende, Muhammad Kirumira pamoja na mkewe wauawa na Watu wenye silaha usiku wa kuamkia leo

> Tukio hilo limetokea eneo la jirani na nyumbani kwake huk Bulega katika Wilaya ya Wakiso

> Wauaji walitumia usafiri wa Pikipiki kulifuatilia gari ya Kamanda huyo

====

Gunmen have reportedly shot suspended Buyende District Police Commander Muhammad Kirumira and his wife.

The couple who were driving in the family car were reportedly shot near their home in Bulenga, Wakiso District.

The attackers were riding on a boda boda
 
"Suspended "?! By who and for what reasons? This leaves behind a lot of searching questions? Which side do the assassins come from? Are from the government to silence him as there were some hostilities between the two sides or are the civilians who are revenging themselves out of past injustice committed by the Commander? Either way still the Government is accountable directly or indirectly because of her protective role to all Ugadans citizena. We don't expect East Africa Countries regimes to turn into terror states. Lives of citizens of these countries should be valued protected.
 
Mkuu "suspended "
Jibu tosha nani anahusika pia kuna picha nyingi ameonekana yuko na bobi waini
 
View attachment 860892

Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Buyende, Muhammad Kirumira pamoja na mkewe wauawa na Watu wenye silaha usiku wa kuamkia leo

> Tukio hilo limetokea eneo la jirani na nyumbani kwake huk Bulega katika Wilaya ya Wakiso

> Wauaji walitumia usafiri wa Piki piki kulifuatilia gari ya Kamanda huyo

====

Gunmen have reportedly shot suspended Buyende District Police Commander Muhammad Kirumira and his wife.

The couple who were driving in the family car were reportedly shot near their home in Bulenga, Wakiso District.

The attackers were riding on a boda boda
Nikiona story inahusisha wauaji wanaotumia pikipiki,hapo huwa sina shaka,taasisi ya serikali inahusika,
Hiyo mbinu ya HIT CREW kutumia pikipiki,hufundishwa na Mossad ya Israel,kwa taasisi za intellijensia za nchi nyingi za ki Afrika
 
M7 anahusika tu hapo...
 
Back
Top Bottom