Uganda: Binti aliyekuwa anafyatua tofali ili kulipa ada chuo, amaliza chuo na kupata digrii

Uganda: Binti aliyekuwa anafyatua tofali ili kulipa ada chuo, amaliza chuo na kupata digrii

Watanzania mna roho za lishe kishetani sana.
Kwani mtu anasoma ili apate AJIRA?
Na ajira zilivyokuwa na ushindani,Nadhani kwa sasa ndiyo atakuwa na muda mwingi zaidi wa kuendelea kufyatua hizo tofali.

Ila angekuwa mbongo ingekuwa habari ya kusisimua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora angeivest kwenye biashara ya kufyatua tofali angetoka kuliko kumaliza chuo kisha unarudi mtaani kusaka ajira usiyojua utaipata lini.Kusoma Sana ni kuukaribisha umasikini.Kuwa na vyuo vikuu vingi nchini ni kuongeza idadi ya masikini nchini.
Akirudi mtaani ataendeleza fani yake ya kufyatua tofali mpaka pale atakapopata kazi inayoendana na elimu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati huyu akifanya hivo,chizi mwingine hakuna anachokijua zaidi ya kudanga
 
kuna watanzania wenzetu wana mawazo mgando sana
Unaakili ndogo sana hivi unazani kujilipia ada, kujilisha, kujivalisha, kujihudumia kila kitu kwa kazi ya kufyatua tofali na hela nyingine ikabaki ni rahisi, tenah tambua huyo ni mwanachuo kwahiyo mda anaofanya kazi ni mdogo na hao huwa wanalipwa kutokana na kazii alofanya
 
Wengi wakimaliza vyuo uja kufanya kazi zisizofani zao
 
Back
Top Bottom