Mkazuzu
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 449
- 557
Smartphone na Ada ya chuo ipi bei kubwaMfyatua tofali anamiliki smart
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Smartphone na Ada ya chuo ipi bei kubwaMfyatua tofali anamiliki smart
hongera sana binti umenifurahisha wadangaji wanalo cha kujifunzaCongratulation to "Sharon Mbabazi"Ugandan sister who has been laying Bricks to pay her University Tuition, she has graduated with degree in Communication 🇺🇬
Source:AfricanUpdatesView attachment 1300559
Na ajira zilivyokuwa na ushindani,Nadhani kwa sasa ndiyo atakuwa na muda mwingi zaidi wa kuendelea kufyatua hizo tofali.
Ila angekuwa mbongo ingekuwa habari ya kusisimua.
Mfyatua tofali anamiliki smart
Kwani kuna shida kumiliki smart. Au wanaomiliki inatakiwa wawe watu wa namna gani? View attachment 1300867
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna watanzania wenzetu wana mawazo mgando sanaAkili za watu wengine bhana. Yaani its like kumiliki smartphone ni anasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akirudi mtaani ataendeleza fani yake ya kufyatua tofali mpaka pale atakapopata kazi inayoendana na elimu yake.Bora angeivest kwenye biashara ya kufyatua tofali angetoka kuliko kumaliza chuo kisha unarudi mtaani kusaka ajira usiyojua utaipata lini.Kusoma Sana ni kuukaribisha umasikini.Kuwa na vyuo vikuu vingi nchini ni kuongeza idadi ya masikini nchini.
Ni bei rahisi sana, ilifaa kila mtu kumiliki smartphone.Mfyatua tofali anamiliki smart
Heko kwake.Congratulation to "Sharon Mbabazi"Ugandan sister who has been laying Bricks to pay her University Tuition, she has graduated with degree in Communication [emoji1254]
Source:AfricanUpdatesView attachment 1300559
kuna mmoja wenu alieniuliza swali kama hilo nimemjibu, fuatilia kwa makini utajua kwanini nimesema hivoNi bei rahisi sana, ilifaa kila mtu kumiliki smartphone.
Mbona umeshangaa ya mfyatua tofali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaakili ndogo sana hivi unazani kujilipia ada, kujilisha, kujivalisha, kujihudumia kila kitu kwa kazi ya kufyatua tofali na hela nyingine ikabaki ni rahisi, tenah tambua huyo ni mwanachuo kwahiyo mda anaofanya kazi ni mdogo na hao huwa wanalipwa kutokana na kazii alofanyakuna watanzania wenzetu wana mawazo mgando sana
Watanzania mna roho za lishe kishetani sana.
Kwani mtu anasoma ili apate AJIRA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ni bettingAkirudi mtaani ataendeleza fani yake ya kufyatua tofali mpaka pale atakapopata kazi inayoendana na elimu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
She's cute! What a wonderful nice girl!Congratulation to "Sharon Mbabazi"Ugandan sister who has been laying Bricks to pay her University Tuition, she has graduated with degree in Communication 🇺🇬
Source:AfricanUpdatesView attachment 1300559
Iv Uganda hakuna madanga😎😎
Sasa kuna kipi cha ajabu hapo!!?Congratulation to "Sharon Mbabazi"Ugandan sister who has been laying Bricks to pay her University Tuition, she has graduated with degree in Communication 🇺🇬
Source:AfricanUpdatesView attachment 1300559
Usijali ndugu mi mwenyewe baada ya kuvaa miwani ndio nikakiona. 🤣