Uganda imekubali kuwapa raia wa Afghanistani hifadhi ya ukimbizi

Wamekuja na masando makubwa makubwa Uganda. Njaa njaa za Mseven. Sasa hawa anawatunzaje wakianza kuzaa Mitaliban ijae East Afrika kote. Hapa M7 alikua analenga hela tu
 
Kwa hiyo ulitamani uwe mmoja wao ili ujikute Los angelous au washington, pole ndugu.
 
Kikubwa ilikuwa na mafuta imetua salama
 
Kutoka Afghanistan na kwenda UK,Ufaransa,au Spain na kutoka Afghanistan na kwenda Uganda wapi karibu,hawa wazungu sio ndugu zetu kabisa,yaani kama wana Covid ndio wawabwage Africa kwanza then wakisha hakikisha kuwa wako salama ndio wawapeleka Marekani!kwanini wasiwapeleke kwenye nchi za wazungu wenzao ambao ni maswahiba wao pia...?
 
Inaonekana wewe mleta mada uwezo wako wa kuchanganua hoja za mahusiano ya kimataifa (international relations) ni mdogo sana.
Mkuu nenda kwenye jukwaa la taarabu huku wanaume tunajadili mustakabali wa dunia
 
nilisikia jana kwa redio ,inasemekena marakenani ndio wamewaomba uganda kuwahifadhi kwa mda ndani ya miezi 3,baada ya apo
watafanyinwa transfer sehemu nyingine ya kuwapeleka.
 
United states of America has requested that Uganda take in 2000 Afghan refugees, a request President of Uganda, Yoweri Museveni has agreed to.

Refugees Minister for Uganda, Esther Anyakun had confirmed that the President was ready to accept these Afghanistan refugees who are currently in desperation and are eager to leave Afghanistan after Taliban fighters retake power control after 20years of power struggle.

Source:
https://news247gh.com/president-mus...hanistan-refugees-at-the-request-of-america/
 
nahisi harufu ya Kitu kupikwa huu ukanda wa Africa Mashariki. Wameanza na Mozambique, Baada ya Miaka Michache ijayo tutegemee matukio mengi ya kigaidi kwenye ukanda wa africa Kusini na Mashariki, kisha wamarekani waje kuvamia nchi zetu kwa kisingizio cha kuleta utulivu na kutusaidia kupambana na ugaidi huku wakichota rasilimali ya mafuta, madini n.k.
 
Mbona kama unatumia chongo kuona mbali
 
Museveni anataka kuwaachia warithi wake nchi iliyoharibika ili waseme kipindi chake kulikuwa hakuna fujo.
 
Wanapewa uraia au wanaenda kwenye makambi ya wakimbizi?
 
Kwan ww hizo marekan wakija bongo kuiondoa ccm hauta furah mkuu waje hata Leo
 

Mpiga ramli kwa kutumia makalio[emoji1787][emoji1787]


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Ndiyo maana pamoja na udikiteita wa Museveni, wamarekani wamekaa kimya as if hawaoni. Maslahi ya Marekani indiyo priority na si wefare ya mwanadamu kama wanavyojinasibu
 
Museveni ni mmoja viongozi madalali barani Afrika. Nina hakika amesha cash out deal hili bila kujali maslahi na hata matakwa ya Waganda. Kwake yeye binafsi hii ni fursa.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mkuu nenda kwenye jukwaa la taarabu huku wanaume tunajadili mustakabali wa dunia
Mnajadili mustakabali wa dunia wakati vichwani ni watupu kabisa, hamjui hata ni kwanini hao wakimbizi wa Afghanistan wameombewa hifadhi ya muda hapo Uganda.
Pathetic!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…