Uganda imekubali kuwapa raia wa Afghanistani hifadhi ya ukimbizi

Uganda imekubali kuwapa raia wa Afghanistani hifadhi ya ukimbizi

Ndio maana watu wansemaga Museven ni dikteta ila huwezi kukuta USA ikimkoromea! Itamkoromeaje kwa namna hii?
Mzee Yoweri Kaguta Museveni anafahamu namna ya kucheza na diplomasia zote za kihuni na kistaarabu, ni komandoo ati.

Hivyo hii atumia tu ule msemo wa "mgeni njoo mwenyeji apone".

We huoni kwenye twitter yumo, kila mahala yumo na ni lazima ajichanganye ili asiachwe nyuma.

He is smart.
 
Afghan are very good people. Ni jamii ya Pashtun ndio watata na ndio Taliban na wako wengi ni asilimia 42 na hao Pashtun hawasafiri kabisa. Ni hizi jamii zingine za afghanistan minority kama Uzbek, Hazara, Tajik, Aimak, Baloch (akina Rostam), Turkmen hao ndio unawaona wanatoroka Afghanistan. Wanaonewa sana na Taliban kwasababu wametofautiana kimafundisho na mila.

Malala ni pashto wa Pakistan sijui imetokea vipi akawa na Mrengo tofauti. Ndo maana Taliban wanammaindi
Unawajua sana
 
Hao raia ni majasusi na wafanyakazi katika ofisi na kambi za Marekani kule Afghanistan, hivyo wanahofia maisha yao. Ndo maana wamepewa hifadhi na USA.
 
Mmarekani ni yule rafiki anayekusaidia kuchoma moto nyumba yako halafu ikifika muda wa kwenda kulala anakuaga kama hakujui vile.
 
watajuta kupanda ndege sasa watalijua jembe la mkono very soon ...wajiandae kuwa wanaenda na kiporo shambani + maji kwenye chumba ya kilimanjaro...waganda kazi kwenu hao watu wapige jembe kweli kweli
 
Ni muhimu sana nyie pambaneni na Tozo sie wacha tukale kuku wa UNHCR hapo wakati tukisubiria pipa la kwenda USA
Comrade niliona sura kama yako 😃 kwenye hiace flani ilielekea Nairobi kutokea namanga!!.
 
Yaani wamewabeba wale raia Afghanistan kwa mbwembwe utafkiri wanawapeleka Marekani au Canada mwisho wa siku kwa kuwakomoa wamewamwaga Entebbe na Museveni kakubali kuwapokea aise nahisi hao raia wanatamani hata wangepelekwa Jalalabad Pakistan au warudi Kandahar yaani wanajuta kudandia pipa.
USA ameishashituka,haya majitu hsyana shukrani,yapeleke USA,kesho yataamka yakuchinje yakitaka yajengewe msikiti kila kona,ila hapo UG,yatapewa kila kitu kama wakimbizi na US kupitia UN,watatoa msaada mkubwa
 
Naomba nisaidie kuna kitu kinanitatiza. Taliban wamechukua nchi ila tofauti na vikundi vingine vya ukombozi vinapopigania ukombozi huwa wanaungwa mkono na wananchi ila Taliban ni tofauti nini tatizo?
Tatizo sharia Baba. Nani anataka kukaa nchi yenye adhabu za kijima kama kupigwa mawe mpaka unakufa kisa kuzini.
 
Raia wa hizo nchi ni watu peace sana...nilisoma chuo kimoja na muAfghan mmoja miaka ya nyuma, alikuwa anasomea udaktari wa wanadamu ili akirudi kwao akasaidie jamii za huko...vita ni kitu kibaya sana

Mataifa yaungane kuwapa hifadhi hao jamaa...
Pakistan, Iran, Syria ni lazima familia itoe daktari, engineer, mwanasheria, accountant. Kama umezaliwa pekeyako basi daktari au engineer.
Ukiwa unajiandaa na mtihani wa Form four, unahakikisha uko vizuri katika masomo ya fani yako kwa kila idara. Majibu yakitoka kama hukupata grades za form five hutoki nje wiki nzima.
 
Back
Top Bottom