Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Kama pana wanawake wazuri, najitolea kuwasaidia idadi wasizidi watatu.Yaani wamewabeba wale raia Afghanistan kwa mbwembwe utafkiri wanawapeleka Marekani au Canada mwisho wa siku kwa kuwakomoa wamewamwaga Entebbe na Museveni kakubali kuwapokea aise nahisi hao raia wanatamani hata wangepelekwa Jalalabad Pakistan au warudi Kandahar yaani wanajuta kudandia pipa.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app