Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Afghan are very good people. Ni jamii ya Pashtun ndio watata na ndio Taliban na wako wengi ni asilimia 42 na hao Pashtun hawasafiri kabisa. Ni hizi jamii zingine za afghanistan minority kama Uzbek, Hazara, Tajik, Aimak, Baloch (akina Rostam), Turkmen hao ndio unawaona wanatoroka Afghanistan. Wanaonewa sana na Taliban kwasababu wametofautiana kimafundisho na mila.
Malala ni pashto wa Pakistan sijui imetokea vipi akawa na Mrengo tofauti. Ndo maana Taliban wanammaindi
Hao Pashtun wanayo asili ya Israel (ni bani Israel).