Storm shadow
Senior Member
- Jul 5, 2019
- 167
- 132
"kuropokwa" kweli kiswahili waachie wenyewe utaumiaCcm utamjua tu...kazi yao kuropokwa tu
ccm wamekuchukulia mmeo nini!😱
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"kuropokwa" kweli kiswahili waachie wenyewe utaumiaCcm utamjua tu...kazi yao kuropokwa tu
"kuropokwa" kweli kiswahili waachie wenyewe utaumia
ccm wamekuchukulia mmeo nini![emoji33]
"kuropokwa" kweli kiswahili waachie wenyewe utaumia
ccm wamekuchukulia mmeo nini![emoji33]
kuropoka sio "kuropokwa" ,hili neno lipo katika kauli gani!? .wenzio wakielekezwa wanaelewa hata kamusi kusoma huwezi fala wa wapi wewe!?[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1209931
kuropoka sio "kuropokwa" ,hili neno lipo katika kauli gani!? .wenzio wakielekezwa wanaelewa hata kamusi kusoma huwezi fala wa wapi wewe!?
Bro hujui kiswahili nakwambiaView attachment 1209930
Du maisha yangu yoote toka nina miaka 2 naongea kiswahili lakini sijawai kukutana na maneno haya ,mwanzoni nilidhani kamusi ya kilugha cha kabila flani kumbe kiswahili. Leo ndo nimejua kama wakenya hawajielewi ,Eti lugha hawaijui vizur na bado wanatunga kamusi harafu mtu akikosea anakimbilia katika kamusi ambayo imetungwa na mbumbumbu hahahaha huruma kweli!!.
Heheeee!!!wacha kulia lia..byda..hao unaowatukana waangalie vizuri katika hilo pachiko hko chini kabisa...[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Ndio inamaanisha watanzania hamjui kiswahili ..kw sababu ukikutana na mtu wa mombasa..huwez sikia hta siku moja akikwambia eti hilo neno sijawai liskia...bali tu atakwambia linafaa kutumika hv au kuandikwa vingine...
Ndio nimeamini sasa km kiswahili hakiwahusu..waachieni wa pwani banaView attachment 1210363
"we ropoka tu"hapa umetambua tofauti kati ya "kuropokwa" na "kuropoka"wenzio kina MK254 tunawaelekeza wanaeleza.tatizo unataka kuonekana unajua .hapo kina kauli ya kutenda na kutendeshwa.We ropoka tu..lkn ukwel huu hapa chini...View attachment 1210192
Huwa wanatangulia alafu baadae wenye label wanaingia kwa ulaini 😁 😁😁Naona mziki wa jiwe unachezwa kila upande .hongereni waganda
"we ropoka tu"hapa umetambua tofauti kati ya "kuropokwa" na "kuropoka"wenzio kina MK254 tunawaelekeza wanaeleza.tatizo unataka kuonekana unajua .hapo kina kauli ya kutenda na kutendeshwa.
Ushauri:tumia kamusi ya kiswahili sanifu(kiswahili-kiswahili),hiyo uliyonayo Haita kusaidia
Vema, vyema, hivo, hivyo, mnabishana nini mbona Sijaona tatizo kwenye haya maneno ila inategemea umetumia katika aina ipi ya sentence .
'Vema' na 'hivo' napinga..labda uniletee ushahidi kw kamusi..
Kiilicho nishangaza mwenzako kasema ' 'vyema' ni kiswahili cha kenya...
nimegundua hujielewi.Wacha kuropkwa bro...
Manake naona wajiropokea tu...
nimegundua hujielewi.
"Wacha" utawajua tu waliodandia gari kwa mbele
Kwenye kamusi ya TUKI kuna neno VEMA,
Angalia pia hizi link hapo chini,
Hayo maneno yote yana maana but inategemea umetumiaje katika sentence.
VEMA : https://sw.glosbe.com/sw/en/vema
VYEMA : https://sw.glosbe.com/sw/en/vyema
Kamusi za kihuni hzo...kamusi zote kongwe hamna vitu vya kipuuzi km hvyo...eti "hiko"
Nilicheka sana...
Watanzania wengi wanashindwa kuyatamka hayo maneno...
Sasa mbona hueleweki tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Heheee...unaogopa...niletee kamusi ya maana...neno hata google ukiliandika halip[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani kamusi verified zenye ziko mitandaoni haziyatambui hayo maneno...eti TUKI my foot[emoji1787][emoji1787]
wewe ni mjinga kupindukia ukitaka kureply unatafuta Google kwanza alafu uonekane unajua.Duh!!
Nakwambia wewe hujui kiswahili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1210680