TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Pesa za wastaafu yule shujaa alizochukua kwenye mifuko ya wastaafu na kwenda kujengea kiwanda cha sukari/mashamba ya miwa kinazalisha tani ngapi kwa mwaka?Hili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.
Kila anakoenda Mama badala ya kuwela wawekezaji yeye analeta wachuuzi.
Amekurupuka nini?Huyu mama ni mkurupukaji sana, sijui hana washauri au hao washauri ndo wanamuingiza chaka, mweeeeeh
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Sasa kama uzalishaji wa ndani haukidhi mahitaji tutafanyaje? Tuendelee kunywa chai bila sukari?Amekurupuka nini?
Wawaruhusu na nyie muuze kahawa huko UgandaMuseveni asema Raisi Samia ameruhusu Sukari ya Uganda kuuzwa Tanzania.Amesema mida hii kwenye hotuba yake.Source TBC LIVE
😂😂😂 Naona hawa wazalendo wa Magu wanataka tupige chai bila sukari kisa Uzalendoooo.Sasa kama uzalishaji wa ndani haukizi mahitaji tutafanyaje ?tuendelee kunywa chai bila sukari?
Watu bado wanatekwa?Acheni afanye ndiyo mlikuwa mnataka, nchi ifunguke ingawa bado mengine ya ajabu yanakuja ngoja tuone anakoenda mpaka kumaliza zile siku 100 tutapata jibu mujarabu!
Sijui kama nimeelewa.Pesa za wastaafu yule shujaa alizochukua kwny mifuko ya wastaafu na kwenda kujengea kiwanda cha sukari/mashamba ya miwa kinazalisha tani ngapi kwa mwaka?
Kunywa chai yenye KK sukari, sukari kijiko kimoja utanielewa vizuri mdau.Sijui kama nimeelewa.
Viwanda Vyetu Vyote vya Ndani so far Kiwango chao cha Juu cha Uzalishaji hakikidhi soko/Mahitaji yetu ya Ndani.Huyu mama ni mkurupukaji sana, sijui hana washauri au hao washauri ndo wanamuingiza chaka, mweeeeeh
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Wao walikuwa hawapingi ni sisi wenyewe tu tulikuwa tukifanyiana roho mbaya kuzuiana. Sijawahi sikia tamko la Uganda kuzuia kahawa kuuzwa Uganda. Labda nimesahau.Wawaruhusu na nyie muuze kahawa huko
Uganda
Ova
Hapo Sasa??!Sasa kama uzalishaji wa ndani haukizi mahitaji tutafanyaje ?tuendelee kunywa chai bila sukari??
Ukiwauliza Magu alikuta bei ya sukari per Kg ni sh. Ngapi na ameondoka bei kwa kilo ni sh. Ngapi huwa hawajibu swali hilo.Hapo Sasa??!
Lawama nyingine zinashangaza.
Watanzania kwa gumu yaani tungekuwa tunaongoza duniani. mbona sisi tuanuza mahindi Kenya. Sukari imepanda bei kelele soko linafunguliwa kelele. wacha walete muhimu mteja aweze kupata bei ya ushindani sio watu wachache ku monopolize soko. Gubu tu Mungu katujalia.Hili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.
Kila anakoenda Mama badala ya kuwela wawekezaji yeye analeta wachuuzi.