Uganda: Rais Museveni amshukuru Rais Samia kwa kumruhusu kuuza sukari Tanzania

Uganda: Rais Museveni amshukuru Rais Samia kwa kumruhusu kuuza sukari Tanzania

Ukiwauliza Magu alikuta bei ya sukari per Kg ni sh. Ngapi na ameondoka bei kwa kilo ni sh. Ngapi hua hawajibu swali hilo.
Yaani kuna wale watu kila wakigusa dhahabu linageuka jiwe ndio hawa, hawana options zozote ila wao kila jema wanachukia tu sisi kuuza nje sawa lakini tusinunue kitu na hasa wivu kwa majirani zetu lakini wachina hata wajaze soko la Kariakoo tuko sawa tu.
 
Yaani kuna wale watu kila wakigusa dhahabu linageuka jiwe ndio hawa, hawana options zozote ila wao kila jema wanachukia tu sisi kuuza nje sawa lakini tusinunue kitu na hasa wivu kwa majirani zetu lakini wachina hata wajaze soko la kariakoo tuko sawa tu.
Ndivyo tulivyo hivyo mkuu, tunalalamika tu na hatuna solution.
 
Kwa ukubwa wa ardhi ya Tanzania (Tanganyika) Kenya+Uganda+Rwanda+Burundi bado kupa ardhi inabakia.

Ni habari njema kwa Uganda kuuza sukari Tanzania.
Ila nadhani si habari njema kuuziwa sukari ambayo kama kuna investment financial instrument zingetumika, Tanzania ungeweza kuzalisha sukari ya domestic & industrial use.

Sijui tunakosea wapi sisi Watanganyika?
Maana bado tuna import soft brooms, toothpick, miswaki, duster za ubaoni, chaki za kuandika, daftari za kuandikia.

Lini tutafika?

F
 
Wawaruhusu na nyie muuze kahawa huko
Uganda

Ova

Acha kabisa wakifungua huo mpaka kwenye kahawa narudi kwenye game maana tulikua tunanunua Burundi 1500 kwa kilo moja Uganda unaenda kupiga 4000 chapchap cash na bila maelezo sasa roadblocks upande wa Bongo ikawa mchawi, tukaanza kupita majini nako wakaingia Bongo ukichek gap ya kilo moja 2500 ni pesa nyingi mno
 
Wao walikuwa hawapingi ni sisi wenyewe tu tulikuwa tukifanyiana roho mbaya kuzuiana .Sijawahi sikia tamko la Uganda kuzuia kahawa kuuzwa uganda.Labda nimesahau

Bongo ndio wachawi waliweka roadblocks kuanzia Nyakanazi, Ngara, karagwe, ukianzia Rwamishenyi ukifika Kyaka balaa hadi utoboe mutukula wewe kidume, ilibidi wajanja waandae mzigo kwenye mizigo fulani ndio unavusha
 
N

Na uzuri hao watu ni wale CCM Mataga(ile ya Magu).

So sasa ni vita ya CCM vs CCM.
CCM huwa hatuna vita ,vita kuu iko Chadema kati ya akina Halima Mdee na BAWACHA kunatokota kuliko supu ya kongoro
 
Kwa ukubwa wa ardhi ya Tanzania (Tanganyika) Kenya+Uganda+Rwanda+Burundi bado kupa ardhi inabakia.

Ni habari njema kwa Uganda kuuza sukari Tanzania....
Kuagiza Nje ni Short term planning,

Kuimarisha Viwanda vyetu vya ndani ili viongeze uzalishaji na kuhimiza kujengwa Viwanda vipya Mfano kile Cha Jeshi la Magereza Kule Mbigiri/Dakawa~Morogoro hiyo ni Long Term Plan yenye manufaa mengi na endelevu ya muda mrefu.
 
Back
Top Bottom