Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Tatizo unawaza kunywa chai Leo tu. Hujui watu wangapi watapoteza ajira maana sukari toka Brazil NI rahisi Sana na waganda na matajiri wengi watatumia hii fursa kuagiza sukari na kui pack kwenye mifuko ya Uganda na kuleta. Sasa subiri mafuriko ya sukari halafi uone Kama Kuna kiwanda chochote kitakuwa hapa nchini.Ukiwauliza Magu alikuta bei ya sukari per Kg ni sh. Ngapi na ameondoka bei kwa kilo ni sh. Ngapi huwa hawajibu swali hilo.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app