Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Tatizo unawaza kunywa chai Leo tu. Hujui watu wangapi watapoteza ajira maana sukari toka Brazil NI rahisi Sana na waganda na matajiri wengi watatumia hii fursa kuagiza sukari na kui pack kwenye mifuko ya Uganda na kuleta. Sasa subiri mafuriko ya sukari halafi uone Kama Kuna kiwanda chochote kitakuwa hapa nchini.Ukiwauliza Magu alikuta bei ya sukari per Kg ni sh. Ngapi na ameondoka bei kwa kilo ni sh. Ngapi huwa hawajibu swali hilo.
Leo nimekucheka sana sana, kadiri siku zinavyokwenda ndio unavyozidi kulegea....kuna wale MATAGA wenzio waambie tutaelewana tuCCM huwa hatuna vita ,vita kuu iko Chadema kati ya akina Halima Mdee na BAWACHA kunatokota kuliko supu ya kongoro
Sasa kosa la Nani? Hutaki sukari ya Brazil.iwe chini? Hutaki sukari iuuzwe kwa bei ya chini? Kama inatoka hata mbinguni maadam itauzwa kwa bei nzuri shida iko wapi?Tatizo unawaza kunywa chai Leo tu. Hujui watu wangapi watapoteza ajira maana sukari toka Brazil NI rahisi Sana na waganda na matajiri wengi watatumia hii fursa kuagiza sukari na kui pack kwenye mifuko ya Uganda na kuleta. Sasa subiri mafuriko ya sukari halafi uone Kama Kuna kiwanda chochote kitakuwa hapa nchini.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Magu aliuwa falsafa ya "Kilimo kwanza" Leo mnalalamikia viwanda, ujinga wa hali ya juu, au mnadhani miwa inachimbwa ardhini?Huyu Maza anaiuza kijani. Sie tunamchora tu. Katika hotuba zake sijawahi sikia japo neno kiwanda.
Ok, iwepo balance sasa vinginevyo hawa wauza 2800/- watafunga viwanda.Sukari ilikuwa inatoka Uganda kwa magendo inauzwa shilingi 2500/= lakini ya Kagera inauzwa 2800/= naamini uhitaji wetu ni mkubwa na uzalishaji ni mdogo sana...bora Waganda watuletee sukari na tupate unafuu wa maisha...pia watu wanapinga importation ya sukari kutoka Uganda lakin wanasahau Uganda pia ananunua vyakula kwa kiwango kikubwa kutoka kwetu...
Ndo maana nikasema akili yako inawaza kumywa chai leo tu inawezakana unakaa kwa shemeji na hufikirii kuhusu watoto wako siku za huko mbele kuwa watabaki utumwani kwa kuwa kutakuwa HAKUNA viwanda vya sukari na hata hawatalima Wala kuuza miwa.Sasa kosa la Nani? Hutaki sukari ya Brazil.iwe chini? Hutaki sukari iuuzwe kwa bei ya chini? Kama inatoka hata mbinguni maadam itauzwa kwa bei nzuri shida iko wapi?
Hapo ilipokua bei juu tumeajiri watu wangapi? Tulinufaikaje? Tuache siasa za ajabu
Sasa mtasema yote,wakati huo mnaimba mapambio Bila kuona wala kusikia kwani vichwa vyenu vilikuwa vimekatwa.Aliyekuwa akifanya Roho Mbaya huku Kwetu ni nani Specifically?
Mimi nawashangaeni,siku hizi pambio la uchumi wa viwanda liliyeyukia wapi.Huyu Maza anaiuza kijani. Sie tunamchora tu. Katika hotuba zake sijawahi sikia japo neno kiwanda.
Hahahaha jenga hoja, mimi kuishi kwa shemeji shida iko wapi? Wekeni Sera nzuri, Sera ya Kilimo kwanza ilikua nzuri sana, mngeweza kufanya jambo la maana, mkaja na upuuzi wa viwanda, viko wapi? Kwani sukari ndio ya kwanza kuwa imported? Acha bangi.Ndo maana nikasema akili yako inawaza kumywa chai leo tu inawezakana unakaa kwa shemeji na hufikirii kuhusu watoto wako siku za huko mbele kuwa watabaki utumwani kwa kuwa kutakuwa HAKUNA viwanda vya sukari na hata hawatalima Wala kuuza miwa.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Yaani ni watu wa ajabu kabisa Mama anaangalia mbali sana, hapo anawavuta ndugu zangu the cranes kutumia bandari ya Dar zaidi, aliwahi kusema JK ukitaka kula na wewe ukubali kuliwa ila alisisitiza hana maana hiyo iliyowafanya watu kuangua vicheko..."Give to Receive" just a simple formula[emoji23][emoji23][emoji23] Naona hawa wazalendo wa Magu wanataka tupige chai bila sukari kisa Uzalendoooo.
MfyuuuuuuuuKutoka Tanganyika, JMT hadi MIKURUPUKO state.
Tusubirie zile sukari kutoka Brazil zilizoisha muda(expire) wake zikafanyiwa PACKAGE zikiwa na made in UGANDA zikiwa SOKONI. Tanzania kweli failed state, kweli tunashindwa kujenga hata kiwanda cha SUKARI?
Alisema tutamkumbuka kwa kweli tutamkumbuka
Hii itasaidia sukari kushuka bei chini itauzwa 1500 kumbuka watz walishasahau kunywa chai.Hili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.
Kila anakoenda Mama badala ya kuleta wawekezaji yeye analeta wachuuzi.
Bei ya sukari nin2700 kwa kilo, acha ipungueHili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.
Kila anakoenda Mama badala ya kuleta wawekezaji yeye analeta wachuuzi.
Viwanda vyetu haviwezi stawi kwa sababu ya sera mbovu za kodi.Kwa ukubwa wa ardhi ya Tanzania (Tanganyika) Kenya+Uganda+Rwanda+Burundi bado kupa ardhi inabakia.
Ni habari njema kwa Uganda kuuza sukari Tanzania.
Ila nadhani si habari njema kuuziwa sukari ambayo kama kuna investment financial instrument zingetumika, Tanzania ungeweza kuzalisha sukari ya domestic & industrial use.
Sijui tunakosea wapi sisi Watanganyika?
Maana bado tuna import soft brooms, toothpick, miswaki, duster za ubaoni, chaki za kuandika, daftari za kuandikia.
Lini tutafika?
F
Acha kukurupuka ndugu, tulia Soma na uelewe kilichoandikwa.Sasa tubaki kusubiria long term plan yako huku tunaumia? Shenzi kabisa.Zalisha anza kulia soko usaidiwe sio kupayuka kama chiliku
Ficha upumbavu wako. Mtaani sukari hakuna na ikipatikana ni kwa bei ya mabwanyeye, acha mama alisaidie taifa. Tunahutaji sukari na bidhaa nyinginezo kama mafuta ya kupikia n.k. Miaka yote mmeshindwa kuwekeza kwenye viwanda mtaweza kipindi hiki!!?? Yani tupate tabu kisa tunasubiri mjenge viwanda vya ndani!!?? Dunia ya kijamaa ishakufa.Huyu mama ni mkurupukaji sana, sijui hana washauri au hao washauri ndo wanamuingiza chaka, mweeeeeh
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app