hivi unajua sukari tunayotumia sasa hivi inatoka wapi?Hayahaya tuliyakataa, nchi haiwezi kuendelea kwa kuimport tu. Sasa pesa yetu ya madafu inaenda kuzorota zaidi.
Na hivyo ndio Kenya walivyofanya.Nimemsiki Museveni kasema kwamba Kenya wameingia mkataba wa kuuziwa tani 90k kwa mwaka..nafikir ndio deficit yao.Yaani mnataka kuua viwanda vya sukari vya ndani! kagera sugar na kilombero wana uwezo wa ku-saturate soko la sukari ingawaje kuna kipindi unaweza kutokea upungufu. Hivi viwanda vya sukari na mashamba ya miwa vimetoa ajira lukuki kwenye viwanda vyenyewe na wakulima wanaouza miwa. Utaratibu tunaokwenda nao ni kwamba ili kulinda viwanda vya ndani na ajira, serikali iwe inatoa vibali kuagiza bidhaa zinazozalishwa na kutumika kwa wingi nchini kama sukari endapo tu kutakuwa na upungufu.....chode chonde tusifanye nchi yetu gulio kwa kila kinachozalishwa huko nje, tutaua ajira za vijana wetu.
hakuna unachojua,unadhani kilombero ina uwezo wa kulisha nchi nzima?Yaani mnataka kuua viwanda vya sukari vya ndani! kagera sugar na kilombero wana uwezo wa ku-saturate soko la sukari ingawaje kuna kipindi unaweza kutokea upungufu. Hivi viwanda vya sukari na mashamba ya miwa vimetoa ajira lukuki kwenye viwanda vyenyewe na wakulima wanaouza miwa. Utaratibu tunaokwenda nao ni kwamba ili kulinda viwanda vya ndani na ajira, serikali iwe inatoa vibali kuagiza bidhaa zinazozalishwa na kutumika kwa wingi nchini kama sukari endapo tu kutakuwa na upungufu.....chode chonde tusifanye nchi yetu gulio kwa kila kinachozalishwa huko nje, tutaua ajira za vijana wetu.
Acheni kukalili mambo JPM ndie aliekuwa anakurupuka wakati uwezo bado mdgo kweli sukari 1kg ndio yakuuzwa 3000..viwanda vyetu vya ndani kwa ujumla havikizi uwezo huzalisha nusu ya mahitaji, kwa Sasa tunaagiza sukari kutoka mbali Brazil ambayo bado inafika kwa gharama, Sasa Kuna haja gani yakuagiza sukari Brazil wakati majirani zetu wanaweza iingiza na wa tz wakapata sukari kwa bei ndgo wakati tukaendelea kuboresha nguvu ya uzalishaji.....Huyu mama ni mkurupukaji sana, sijui hana washauri au hao washauri ndo wanamuingiza chaka, mweeeeeh
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Wawaruhusu na nyie muuze kahawa huko Uganda
Ova
Upo sahihi mkuu. Cherehani kwa ajili ya kushona viraka vya mtumba kutoka ulaya. Au kupunguza mabwanga ya mitumba ya ulaya.Cherehani 3 ni kiwanda tayari.
Hili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.
Kila anakoenda Mama badala ya kuwela wawekezaji yeye analeta wachuuzi.
Wasukuma mtachakaa miili kwa chuki zenu dhidi ya Rais,, na hakuna atakachokifanya kwenu kikawa kizuri ke.nge nyinyiHili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.
Kila anakoenda Mama badala ya kuwela wawekezaji yeye analeta wachuuzi.
Wajinga sana hawa watuUkiwauliza Magu alikuta bei ya sukari per Kg ni sh. Ngapi na ameondoka bei kwa kilo ni sh. Ngapi huwa hawajibu swali hilo.
Wao walikuwa hawapingi ni sisi wenyewe tu tulikuwa tukifanyiana roho mbaya kuzuiana. Sijawahi sikia tamko la Uganda kuzuia kahawa kuuzwa Uganda. Labda nimesahau.
Hili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.
Kila anakoenda Mama badala ya kuwela wawekezaji yeye analeta wachuuzi.
Sasa kama uzalishaji wa ndani haukidhi mahitaji tutafanyaje? Tuendelee kunywa chai bila sukari?
Dikteta lenu kichaa lilisababisha sukari ikawa bei juu,Hili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.
Kila anakoenda Mama badala ya kuwela wawekezaji yeye analeta wachuuzi.
Tusimlaumu JPM tu kama vile ndio yeye peke yake aliyetawala Tanzania.Alichokuwa anakifanya ndio kile kile alichofanya Sokoine miaka ile. Alitaka tuanze kuwa wazalishaji na sio walaji peke yake. Bakheresa anajenga kiwanda. Kilombero wanaongeza capacity. hapo ndio alipokuwa anafocus.Wajinga sana hawa watu
Wajinga hawa wasukuma, na misukule ya diktetaInashangaza sana!
Kuna watu wao wako kwa ajili ya kukosoa lolote alifanyalo Rais wa sasa lionekanalo ni la Tofauti kwa mtangulizi wake.
Sawa, kafufueni ule mzoga uje umalizie ingwe yakeHii ni T.V....! Remote tunajua ipo wapi..
Kuna mtu kashikilia remote na ndio mwenye Control