Uganda: Shule yawavalisha wanafunzi sketi bila kuzingatia jinsia

Uganda: Shule yawavalisha wanafunzi sketi bila kuzingatia jinsia

Kwani vazi la asili ya Africa ni lipi ili tulienzi, hebu tuache masihara bwana, tusije vaa vigozi vya ngombe hapa kusetiri tu private parts zetu. Lipi litakuwa la jabu letu au hilo la Kiscotish? Mimi binafsi sioni shida hata kidogo.
 
Back
Top Bottom