Uganda -Tanzania Oil Pipeline is still in the dark


Sikiliza mdogo wangu, AC ni shareholder wa Amundi. Na si shareholder wa TOTAL, Bali Amundi (second largest shareholder) na BlackRock (majority shareholder). For this note AC cannot sit in TOTAL AGM. But Amundi will do.
AC will sit in the Amundi AGM coz is where has a biggest chunk of stock.

Msipoelewa hapo basi itabidi nijitoe.

🤣🤣🤣
 
Wazo la kipuuzi sana...

Mtabenefit Tu sio lazim muwe kwenye mkataba
 
Hahaha naona unajaribu kubadilisha goal post. Hakuna mtu yeyote aliyesema kwamba Credit Agricole huwa ina-attend AGM ya Total. Hapa hatuongei kuhusu AGM maana sio shareholders wote ambao huwa wana-attend AGM. Kwanza wale shareholders wadogo wadogo wanaomiliki 0.0001% of the shares sio lazima wa-attend AGM. Hapa hatuongei kuhusu AGM usibadilishe story. Kuna Wakenya wengi ambao wanamiliki shares za Safaricom ila sio wote ambao wana-attend AGM ya Safaricom. Anyway swali langu bado linabakia pale pale na naomba ulijibu tafadhali. Bado unashikilia kauli yako kwamba Credit Agricole sio shareholder wa Total?
 

Bwana mdogo wewe kumbe ni fundi wa ku twist issue.

AC siyo shareholder wa TOTAL. Labda tumuite stakeholder wake.

Ukisoma article inamtaja Amundi na BlackRock kuwa ndiyo shareholders wa TOTAL.

AC ni largest shareholder in Amundi. To be largest shareholder of Amundi (second largest shareholder in TOTAL) does not make AC to be the shareholder of TOTAL automatically.
I tried to show you the third party (passivity) relationship btn AC and TOTAL.

Dogo usipoelewa na hapa itabidi uwe unalipia nondo ninazokupa.
 
Now somo limeeleweka, there is no place CA meets TOTAL. TOTAL hamjui CA bali anamjua Amundi. Kama kuna kitu, It have to table through Amundi.

I'm just trying to show you a third party (passivity) relationship between TOTAL and CA.

Kama hujaelewa sirudii tena kuwafundisha. Sijawahi ona wanafunzi wagumu kama ninyi.
 
Tatizo wanatumia mihemko kwenye huu mradi badala ya akili, wamekomalia kulaumu Kenya badala ya kujibu hoja zilizoibuliwa, kama mliambiwa tatizo kwamba hamjafanya upembuzi wa kimazingira ipasavyo, mjibu hizo hoja acheni kulia lia kuhusu Kenya.
Nyie kenya mlivyokuwa mnataka bomba lipite huko kwenu mlishafanya upembuzi?
 
Nyie kenya mlivyokuwa mnataka bomba lipite huko kwenu mlishafanya upembuzi?

Hamna mradi wowote wa namna hii unapaswa kufanywa bila upembuzi, sijui mbona mnahemka badala ya kutumia akili.
 
Kitu usicholewa ni kwamba ili Amundi iingie kwenye mkataba wowote, ni lazima ipate idhini kutokaCA. CA calls the shots here and there's nothing you can do about it. Amundi haiwezifanya chochote bila blessing ya mmiliki wake CA
 
Kitu usicholewa ni kwamba ili Amundi iingie kwenye mkataba wowote, ni lazima ipate idhini kutokaCA. CA calls the shots here and there's nothing you can do about it. Amundi haiwezifanya chochote bila blessing ya mmiliki wake CA

And the thing you fail to decipher, is that, CA cannot tell TOTAL anything without passing through Amundi. TOTAL can never reach any commercial closure with CA as there is no direct relationship with it.

Le me pose last questions to you guys,

1. Is CA a shareholder of TOTAL?
2. Can CA sit in TOTAL AGM and VOTE?
 
Wakenya mshakua CEO, shareholder , stakeholder wa Total. Sasa kavunjeni mikataba EACOP isijengwe . Political stability pekee inaruhusu bomba la Mafuta kuja Tanzania pigeni kelele kama chura
 
then, why did they allow their CEO (total) to sign the SHA and TTA in uganda? If you are the largest share holder of total, then they would have prevented their CEO to sign the tripertite agreement. TOTAL will fund the project, they need to take oil to the world market, otherwise they'll get loss. remember they paid TULLOW almost $ 1 bil to aquire Tullow's share, why all this happen and 2nd shareholder is just watching.
 
an investment bank and shareholdee aee 2 different things. and when it comes to investmwnt banks, they are so many willing to fund the project
 
Wewe hujielewi na pia huelewi kitu najaribu kukuambia, Credit Agricole is a shareholder in TOTAL and TOTAL is the biggest shareholder in the pipeline. So the Agricole will influence any decision made by TOTAL.
sasa kwanini waruhusu total kutoa almost $1b kununua visima vya tullow? walijua kabisa kwa kiwango cha mafuta cha pipa bil 6 lazima upeleke nje ya east africa huweza east africa. swali ni je waache $ 1b ipotee?
 
hahahaha. jamaa hajui english. amundi is the socond you are right
 
the qn is how much does agricole hold in amondi (2nd largest)
 
We face neither East nor West😉-oh baba China okoa jahazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…