Uganda yafuta sheria iliyokuwa inapinga ndoa za jinsia moja

Sasa watazaaje! huko si ni chooni?
 

Ilianzia mbaali sana,pale binadamu alipoigeuza ngono toka kuwa kitendo cha wanandoa, kilicho maalum kwa reproduction hadi kuwa tendo la kutafuta starehe.From there,anything can be compromised in the name of starehe,na hii yote baba yake ni uhuru usio na mipaka,tunazungumzia ushoga hapa lakini halitaishia hapa,tutakwenda kwenye kila sekta muhimu ya welfare ya binadamu na kuanzisha mambo ya hatari for the sake of uhuru,uhuru usio na mipaka.Bila shaka wajanja mshaelewa who is behind all this shit.Ni yule yule bwana mkubwa aliyedai uhuru usio na mipaka mbinguni,ili na yeye awe kama Mungu.Akasambaza sumu hiyo pale Eden,naam,"mtakuwa kama miungu".Wajanja kasomeni historia enzi za dark ages,upagani ulipokuwa umeishika dunia kisawasawa,muone tamaduni hizi za ushoga na mambo mengine ya ajabu ajabu vilivyokuwa vitu vya kawaida kabisa.Kule kwa wagiriki,Rumi,Persia na kwingineko,watu hawakuweka mstari kati ya homo na hetero,all thata matters was sexual desire.Dini ziliposhika kasi duniani hizi mambo zikaenda underground.Leo hii ukiona watu wanayazungumza haya bila uoga,tena viongozi,uelewe kwamba tunarudi dark ages.niambieni wenyewe,leo hii mtu akizungumza mahubiri ya maadili mema,ni wangapi wanamsikiliza na kusisimka?hata kanisani na msikitini ukiongea haya waumini wanasinzia!Hili linashika kasi sambamba na mijadala ya kuhoji uwepo wa Mungu.Tumeishi miaka mingi na imani kwa huyu Mungu,leo hii tunatilia mashaka uwepo wake?kwenye tv,mashuleni,mitaani,na maeneo mengi,hoja hii ya uwepo au kutokuwepo Mungu imeshika kasi huku mmomonyoko wa maadili ukizidi na dunia ikizidi kuwa mateso kwa wakazi wake kama ilivyokuwa dark ages na hata zaidi!unganisha dots hapo,kama hujui kusoma angalia hata picha.Mkuu Yericko Nyerere nasikia wewe ni rastafarian bwana,kuna huu wimbo sijui unaujua?
"There's a natural mystic blowing through the air
If you listen carefully now you will hear
This could be the first trumpet,might as well be the last
Many more will have to suffer,many more will have to die
Don't ask me why
Things are not the way they used to be
I won't tell no lie...."
 
Last edited by a moderator:
ah wewe ata useme vipi kuweka picha hapo ni mbwembwe tuu....nipe points why guys should be inprisoned while fornicators shouldnt taking into account that both acts are deemed sins

Mzabzab you can't compare fornication with sodomy never on earth
 
Mzabzab you can't compare fornication with sodomy never on earth

issue is not comparison wewe....issue is that its a sin period. mnasema oh becoz wanaenda kinyume na maumbili na jinsi binadamu wanatakiwa kujamiana....but mbona watu siku hizi wanapenda blowjob. je hiyo sio kinyume na maumbile. mbona hao hamtaki kuwafunga?

mimi nakubaliana kabisa kuwa ushoga ni dhambi. unzinzi pia ni dhambi ambazo zote zinafanywa na wanadamu ambao lengo lao ni kuburudika. sasa kwa nini huku tutoa hukumu kali wakati upande wa pili tunachekelea na kuhushabikia? mimi kama serikali ingekuwa nasema kuwa tutatoa hukumu ile ile pande zote mbili nisingekuwa na tatizo lolote
 
Kaka juve endelea kutupa madini aise!!
 
Last edited by a moderator:

Ndugu yangu hizo hoja zako za kishetani ni nani kakuwekea kwenye akili yako? Pamoja na mambo mengine lakini hilo ni msingi mmojawapo utakaosababisha waendelee kututawala. Kama unaona ushoga siyo laana basi mzoeze mwanao aanze kubanguliwa ili aingie kwenye karne ya ushoga.
Museven amedharaulika sana. Mwanzoni alisifiwa na wengi walikuwa tayari kumuiga, sasa hivi kayalamba matapishi yake
 

Mkuu swala la msingi ni kwanini wamagharibi wanalishikia bango swala hilo hata wanatishia kunyima msaada??? hapo kuna nini? soma alama za nyakati.
Shetani sasa hivi anatoa makucha sana. Pia kwani mzungu tu ndo atufundishe jinsi ya kuishi? kwani yeye ni mungu? Mbona China hawafosi ki hivyo? kwanini watuonee waafrika? huo ni ushenzi haitakiwi uingizwe kwenye sheria ya nchi. Nchi inaundwa na watu wenye imani tofauti, hawa wote hakuna imani yao inayoruhusu vitu hivyo, sasa hiyo inayokuja ni ya Shetani kabisa. kuwa makini.
 
Ni wakati wa mtu kuamua njia gani afuate na
Mwili wake autumievipi sasa wapo huru Mungu
Anawapenda sana anataka roho zenu zipone
 
Huyu alopost hii kitu nae ni shoga bila shaka. Mungu hawezi kuwapenda mashoga hata siku moja. Jidanganyeni,labda kama hujasoma vitabu vyake vitakatifu. Labda miungu ndo wanawapenda sio Mungu wetu alie juu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

Wewe na Nyani Ngabu nawapa heko. Kwakuwa mmetoka ndani ya box na mmekuwa enlightened .big up
 
Last edited by a moderator:
Tufike mahali tukubaliane zambi ni zambi ushoga . uasherati . kusengenya ulevi. kuua kuiba na engine yoote alokataza mwenyeezimungu si kosa moja ambalo linakomaliwa je mwanaume na mwanamke wakienda kinyume na maumbile si Zambi ?????
 
madhara ya ushoga US, sasa kwa Watoto.

A judge in the Florida Keys on Monday ban gay marriage to remain in effect.


ukienda texas wame-ban ushoga kwa ajili ya kusapoti watoto.
Texas' ban on same-sex marriage allows the state to promote the birth and upbringing of children in "stable, lasting relationships. O
pposite-sex couples are better suited to have and raise children, and thus help reduce "societal costs."

"
Because same-sex relationships do not naturally produce children, hence the same-sex marriage does not further these goals to the same extent that recognizing opposite-sex marriage does,
faida ni kwamba wazungu atagundua kasoro zinazojitokeza mapema kabla yetu..
link:
Texas: Gay-Marriage Ban Best for Children - ABC News
Ruling keeps gay marriage ban in effect in Florida Keys | Reuters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…