hatimaye raisi wa uganda asaini mswaada juu ya sheria ya mavazi ya wanawake uganda. ambayo inazungumzia juu ya aina ya mavazi ya kuvaa.
sketi ambazo urefu wake hauja vuka goti ni marufuku kuzivaa, suruali zile mini jeans au tait zinazo shika mwili ni marufuku
ukija juu nguo yoyote itakayo kuwa inaacha mwili wazi ni marufuku.hakuna kuvaa nguo yoyote itakayo acha mabega wazi .hakuna kuvaa nguo yoyote itakayokuwa imeshika sana mwili.
na hata wasanii hakuna kuvaa nguo hizo sababu hadhira wao wamekuwa wanabezi zaidi kuwaangalia wao miili yao zaidi ya ujumbe wanao utoa.
kiukweli hapa kwa upande wangu nawapa BIG UP uganda.
kwa bongo mm naona tungeanza na wasanii woooote wa kila fani maana hawa ndio wamekuwa janga sana.
VIPI MPANGO WA VAZI LA TAIFA ULIISHIA WAPI??
source
#EAST AFRICA RADIO