Kuna kitu kinitwa debt trap
Mseveni ndiyo maana hataki kutoka madarakaniHii miradi ya Wachina ipo kama karata tatu au chambo kwa samaki, mtu ukiingia tu kwenye 18 zao umeliwa !!🤣🤣.
Wachina ni wachawi. Uchawi wao kwa waafrika hutuponagi.
Hii inaitwa Dept Trap DiplomacyKuna kitu kinitwa debt trap
CCM huwa wanajidai China na Tanzania ni Damu damu.... Sasa shida iko wapo
Hivi baba wa taifa Uganda ni Mseveni?Ujumbe huu aupate andujne kiongozi wa mazuzu! Yaani alipelekwa china akaoneshwa mapichapicha mgogo huyu akaingia mzima mzima!
Damu damu kwenye wizi na ushirikanaCCM huwa wanajidai China na Tanzania ni Damu damu.... Sasa shida iko wapo
Walishavumisha sri lanka port imekamatwa kwa deni wakati ilikua ni investment na sio mkopoPale atauzwa mtu sio kitoto
Bandari hiyo ni full package, inakuja na special economic zone, patakuwa na viwanda na pia maduka technology hub, etcNafikiri kungekuwa na kuweka Bond Magu angetuambua tu kuwa eti wanataka airport ila ugumu wa pale ni kuwa kutoemdeleza Bandari nyingine alafu wakishachukua lile eneo ndiyo basi ni lao hupaswi kuwauliza wanaweka nini wala nani kaja pale, suala la usalama ni lao na suala wanafanya nini nje na Bandari huruhusiwi zaidi utaletewa report tu kuwa mwaka huu tumepata hasara ya billion 90 huku ukisubiri siku wapate faida ndo wakupe gawio.
But bagamoyo port siyo loan,, ni investmentKuna kitu kinitwa debt trap
Nasikia zambia imetaifishagwa kila kitu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787],yaani haina chochote kwa sasa[emoji847][emoji847]Watoto na wajukuu zetu watakuja kutulaumu kwa maamuzi mabovu yanayofanyika leo
Mabeberu Wana utu na huwa wanaheshimu haki za watu ila Hawa viumbe wenye macho madogo swala la utu, na utunzaji mazingira limewapita kushoto na wakikuajiri unakuwa cheap labour na hawaheshimu mikataba ya kaziBora mabeberu wata tunza mazingira wata tulipa mishaara mizur ata wakija kutuachia bandari itakuwa kwenye ubora
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mawazo yako uganda haina tsh bilioni 500?,, Huo si sawa na utajiri wa Rostam aziz tu?, Kwa mawazo yako unataka kusema nchi kama uganda haina hiyo hela?bilioni 450tsh zimewatoa kamasi waganda,sisi ni trillion 21,wengine tulipokuwa tunalia kifo cha magufuli tulionekana kana kwamba tunalilia ulaji kukatika,sijui ulaji gani ulikuwepo awamu ya 5[emoji17][emoji17]
Dah inasikitisha sana Hawa wachina sio wakuchekea heri ya mabeberu weupe Wana kautu flani wachina sera zao kama za kikoloni. Africa tusipogutuka tutaurudisha ukoloni wa kichinaNasikia zambia imetaifishagwa kila kitu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787],yaani haina chochote kwa sasa[emoji847][emoji847]
Tanzania inatakiwa kulipa compasation ya hela itakayotumiwa na China kuchimba bandari ya bagamoyo.Walishavumisha sri lanka port imekamatwa kwa deni wakati ilikua ni investment na sio mkopo
Hata bagamoyo siyo mkopo,, hatuoewi mkopo bali hiyo ni investment ya partinership watatu,, Tanzania china na oman,,
Tanzania wametoa plot,, china yawe kuwa wametoa fund na technology , oman pia ni fund na tech
Tatizo la viongozi tuliona ni kizazi cha giza ambacho hakija wai kuishi na kufanya kazi na jamii za kimataifa kwaiyo hizi jamii wame kutananazo ukubwani kwenye vikao hawazijui Tabia za Wachina kama wezi wa vitu vidogo vidogo na ni masikini Sanaa, mara Mia mabeberu Wana hutu ata wakizaa na mswahili wanajua jinsi ya kutoa Huduma hata kama hajamuoa mwanamke, Yan wachini ni watu wabaya Sanaa sijui viongoz wa Africa Wana wapendea nini hawa viumbe.Mabeberu Wana utu na huwa wanaheshimu haki za watu ila Hawa viumbe wenye macho madogo swala la utu, na utunzaji mazingira limewapita kushoto na wakikuajiri unakuwa cheap labour na hawaheshimu mikataba ya kazi
Yah right.....!!Damu damu kwenye wizi na ushirikana
TuvumilieYah right.....!!