Ugomvi na ushoga usiwe kigezo cha watoto kukosa mchele wenye virutubisho, tutaonekana majuha

Unajuwaga billgate foundation huwa inadhamini nini 1 depopulation ndo maana marehemu alipiga moto misaada ya corona
Depopulation ingeweza kuwapunguza watu kama nyie ingekuwa jambo jema sana
 
Depopulation ingeweza kuwapunguza watu kama nyie ingekuwa jambo jema sana
Sasa unataka watto wa wenzio wageuzwe upinde we unakubali mwanao ale uo mchele tuanze kuleta kilo 20 apo nyumbani
 
Hawatoi bure msaada,kama ni kwa nia njema wabarikiwe,sisi hatuwezi kuwasaidia wahitaji
 
Kwani hawa wamarekani wamekurupuka tu na kutoa msaada bila ya makubaliano na serikali yetu?
waziri Bashe kasema hatuutaki huo Mchele. hiyo NGO iwasaidie wakulima wa Tz na hivyo virutubisho tuviweke wenyewe

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
waziri Bashe kasema hatuutaki huo Mchele. hiyo NGO iwasaidie wakulima wa Tz na hivyo virutubisho tuviweke wenyewe

JESUS IS LORD&SAVIOR
Hata Jesus Lord&Savior mliletewa na hao hao wazungu, leo hii hawawezi kuwa wabaya hivyo kutaka kuwamaliza.
 
Acha uongo Usa ajaanza leo kuipa msaada wa chkula Tza alishawahi tupa msaada wa mahindi ya kulishia ng'ombe Yale ya njano tukala Hadi kushiba.
USA ndie anaelisha chakula karibu wakimbizi wote Dunia kuanzia makambi ya kigoma hadi Afghanistan,mbona huko hawajawa mashoga.
 
Tatizo ni GMO Products....Bashe katoa muongozo kwamba hivyo virutubisho waviweke kwenye mchele na mahindi yetu na si hayo waliyotoka nayo USA.
 
Hii ni akili ya kawaida tu. Hata hutakiwi kuwa na cheti cha darasa la saba. Tanzania mnatoa msaada kwa Rwanda. Mnawapa pesa wakanunue bidhaa za Kenya na ninyi mna viwanda vinazalisha bidhaa hiyo hiyo ? MTAKUWA HAMNA AKILI. NI WAPUMBAVU MPAKA MWISHO.
Hiyo misaada ya kihuni ndo hatutaki. Kama mtu unampa hela mwache aamue mwenyewe ataitumiaje. Unanipa hela halafu hapohapo unalazimisha nije ninunue kwako kwa bei za kufuru ni uhuni.
 
Tatizo ni GMO Products....Bashe katoa muongozo kwamba hivyo virutubisho waviweke kwenye mchele na mahindi yetu na si hayo waliyotoka nayo USA.
GMO Products sio tatizo, unafikiria wabongo wanaoenda huku Marekani huwa wanauliza mahindi, chips, burgers na pizza wanazokula kama ni GMO au sio GMO??
 
Ona hili likuma sjui mijitu ya ccm ina akili gani..
 
Hiyo misaada ya kihuni ndo hatutaki. Kama mtu unampa hela mwache aamue mwenyewe ataitumiaje. Unanipa hela halafu hapohapo unalazimisha nije ninunue kwako kwa bei za kufuru ni uhuni.
Anayesema hivi kila kitu chake kinategemea msaada. Chanjo za Corona mlitengeneza wenyewe? Na ninyi mlivyo wezi. Zile train mmeenda kununua mbovu za miaka ya 70 huko. Karne hii? Halafu ndo mpewe pesa mje tugawane? Hamna kitu hapo. Akili zenyewe hamna.
 
Uarabu na uisilamu unaingilianaje??
Kwa waarabu kutetea ubahasha kunahusianaje na uislamu??
Jinga wewe .
We kiraza soma uelewe ujaelewa nilicho maanisha unakurupuka..stupidii
 
huo ni ujuha maana hata marekani sio wote wanapenda ushoga
 
Botha Kaburu yule South Africa, alishasema, Mtu mweusi akili yote ipo kwenye ngono; si unaona hapo, kila mtu anaamini hata wenye elimu! Hawezi kuua kwa nini!
 
Kwani mkuu tatizo liko wapi ukaenda ubalozini Kwa Marekani ukawaambia wakupe japo nusu tani ukala na familia yako bila sie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…