Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
My point no kwamba kama we we ni celeb na watu wakabahatika kujua ur inner secrets then lazima yatajadiliwa tu Unlike Mimi ambe ni unknown.
Ni lazima wawe na njia tofauti na ile ya mazoea ya kuhandle ishu zao zisitufikie walalahoi tukazijadili. Mfano mama diamond alilazwa tmj zaidi ya mwezi ila kuepuka ishu za kifamilia kuwa nje walificha mwanzo mwisho (ndio ugonjwa ni siri ya family) ... Na kweli wachache walijua. Ndo maana umakini unahitajika.
geniveros na Ms.Lincoln don't expect Mange to be fair while the world itself isn't and will never be fair. Mange did her assignment anachosubiri ni pesa kutoka Voda.... It's upon these two celebs to make up and find the way forward
mi nimependa nakaaya alivyomjibu nancy kwa kweli hekma na busara zimetumika mpk raha yani
iwe kweli iwe uongo...kua public fugure si kigezo cha kuweka mambo yenu nje labda km mmeamua kuyaanika wenyewe kwa watu!!
alichokifanya mange kwetu sisi tunaweza kumpa hongera but just try to wear viatu vya familia ya kina sumari and bad enough akaruhusu comments za kuwa chafua km vile
do u think its fair...
Sasa kama hao akina Nakaaya wanataka moto wajaribu kuomba uthibitisho ndio tutajua mengi kuliko haya tuliyoyajua sasa.
Yeye aliongelea suala la hao ndugu kutokupatana, kwani kuna ubaya gani? Wale si celebrities?
Halafu asiyejua hilo ni nani? Labda kama sio mfuatiliaji wa mambo ya mujini ndio utakua hujui.
Maana wenyewe tu wanaonesha hawapatani.
Duuh nomaa..kwaiyo ww mfatiliaji wa mambo ya mujini
Sasa kama hao akina Nakaaya wanataka moto wajaribu kuomba uthibitisho ndio tutajua mengi kuliko haya tuliyoyajua sasa.
Yeye aliongelea suala la hao ndugu kutokupatana, kwani kuna ubaya gani? Wale si celebrities?
Halafu asiyejua hilo ni nani? Labda kama sio mfuatiliaji wa mambo ya mujini ndio utakua hujui.
Maana wenyewe tu wanaonesha hawapatani.
Ila nimemfatilia huyo Dada mange mda mrefuu mno, na anapokuja na kitu faham kabisa Ana data sasa ukijifanya mkujia juu anafumua kila kitu, naamin mpk kutamka hayo yote kuhusu hio familia aitakua anakila chembe ya evidence, halafu sidhani Kama kuna haja ya kumtukana kwanza yeye ni blogger, na anachopost sio lazima ukiamini na kukichukia ila unaweza kukaa na kukifikiriaa. ngoja tusubiriii atakuja naannii Kama Dada mtu kaongea ila amejitahid kuongeaa kwa busara.
Voda hii hii inayomilikiwa na mafisadi Rostam Aziz na Lowassa?
nifah mi nasubiri evidence na facts kutoka kwa Mange maana kimsingi hapa Mange ni mchonganishi labda athibitishe aliyo kuwa ana yaongea yana ukweli!
Mimi nachomwitia mnafiki ni kwa kuwa naona ameamua amwanike Nancy kama vile ionekane kuwa na marafiki ni jambo baya hususani wenye pesa.
Yeye kama ameamua ajitenge na marafiki its good for her, ila sio lazima maisha anayoishi yeye ya kutengwa wote wawe ivo.
hata km ana ukweli mfano mm na ww ni ndugu tumegombana,kuna haja gani ya mtu wa 3 kuamua kuingilia mambo yetu ht km nimekukoseaje...?!!then kuingilia kwenyewe anatangaza kwa watu wote km sie hatuelewani bila hata kutuweka chini kutusuluhisha labda hata kwa kuongea na mmoja wetu
vitu vingine viko kifamilia zaidi..!!
Kwani Mange alishawai kuwa na ukaribu na hao wawili?
Mambo mengi Mange alishawai kuropoka lakini hili naona kakosea zaidi!
U heaaardd
kipindi yuko kwenye kuandaa miss tanzania ameshawahi kua nao karibu kipindi hicho!!
Teh TehWenyewe si wanajiita maceleb vioo vya jamii? Ndio wajue kumaliza tofauti zao kabla jamii hawajatoa siri zao za uvunguni