Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
My point no kwamba kama we we ni celeb na watu wakabahatika kujua ur inner secrets then lazima yatajadiliwa tu Unlike Mimi ambe ni unknown.
Ni lazima wawe na njia tofauti na ile ya mazoea ya kuhandle ishu zao zisitufikie walalahoi tukazijadili. Mfano mama diamond alilazwa tmj zaidi ya mwezi ila kuepuka ishu za kifamilia kuwa nje walificha mwanzo mwisho (ndio ugonjwa ni siri ya family) ... Na kweli wachache walijua. Ndo maana umakini unahitajika.
Siku ushoga wake na Wema ukivunjika na akamuandikia gazeti utacomment hivihivi? Mbona sijawahi kuona Mange akiandika uchafu wa Wema? Au Wema siyo Celeb?