hahaaaaa yetu macho na maskio jamani llooohAmesema kesho ndo anashusha hzo nondo?kama yeye anasema amewapatanisha basi hakuna haja ya evidence yoyote.
Me naona wangeacha na hii issue
Dina I said geraaarrreeehiaaaaa .... Wamemuanika mwaya na kusema bwana amehamia kwenye nyumba separate
Wenu katika umbea.........
Naona Linda anatumia fursa hapo
mi ile ya kwa sinta iliniuaa aiseeee
Hahaha may be tour guide manake na wao wanaitwa gaidi hahahaha nimecheka kufa
A to Z hapana aliyejua ingawa katika hili jambo Nancy litamsumbua.Na lile kundi litakuja sarambatika....tulipe muda.
Haya Ms.Lincoln na mzurimie vichambo vyenu hivyo kutoka u turn
mi ile ya kwa sinta iliniuaa aiseeee
Hiyo hyo mwamvita alimpigia kifua. Hata mwamvita amkojee mdomoni hawezi kuwekwa uturn
Haya Ms.Lincoln na mzurimie vichambo vyenu hivyo kutoka u turn
Linda siku hiz ananiudhi yeye anazidi kumchokonoa mwenziee jamanii,kazid uchokoziii aiseee
Nancy ndo kaumbuka. Hata mimi naona hili kundi Ku survive long mhhhhjjjhh sijui.
Me naomba siku Linda na mange wapigane ili waheshimiane.
lengo lake ndo hili kundi life mbona wenyewe wanapendezana tu...!!
kuna watu wana wivu sana jamani dah sijpata kuona.!!
hao wanaokuandika kwengine ni patheticKuna wasomaji na wachangiaji wengine wa U-turn huwa wana akili sana.
Ila wengine wamekuwa kama wameshikiwa akili.Na mkaniandike tu, mnipe umaarufu wa zaidi ya kipindi kile.
Duh washakuwa maarufu
Mrushaji lazima yupo hapa kijiweni jf kwa sana tu.