Ugomvi wa Nancy Sumari Vs Nakaaya: Majibu kwa Mange

Ha ha ha wapo humu humu.....hatari jamani.Hao wanaochamba u turn wanasahau kuwa Mange mwenyewe mambo mengine anatafuta utetezi tokea JF.
 
Hivi kwanini Mange hawezi kumuanika Mwamvita Kama anavyofanya kwa hao wasichana wengine

CC..Mrembo by Nature!

Pale ndio panashikilia blog ya uturn. Umbea utaupata wapi mwamvita akivurugwa?
 
Kuna mtu anajiita nifah kimavi kule kwa sintah.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaa jamani haya mambo sasa yanachekesha badala ya kukera.Acha wafurahie ubunifu wa id's zetu maana hawana jipya zaidi ya kufuata nyayo zetu.

wanakukubali kiaina
 
Msipate shida list hii hapa.... Wengine sikiwajua kabisa. Kumbe walishea dyudyu na millen
 

Attachments

  • 1433323289515.jpg
    49.4 KB · Views: 344
Hahahahaaaaa jamani haya mambo sasa yanachekesha badala ya kukera.Acha wafurahie ubunifu wa id's zetu maana hawana jipya zaidi ya kufuata nyayo zetu.

I see say dey jelous you my mdogo!
Why wakugande wewe tu ilhali wanaoponda ni wengi tu tena wanaongezeka daily!! Lol
 
Hahahahaaaaa jamani haya mambo sasa yanachekesha badala ya kukera.Acha wafurahie ubunifu wa id's zetu maana hawana jipya zaidi ya kufuata nyayo zetu.

Halafu nimegundua huyo mtu ni binti na yupo humu humu....na aisee anatoa matusi kule daa hadi nilipo pita nikayaona nilimuonea huruma sana na sikujua kama kuna watu wanachukulia serious sana mambo ya kwenye mitandao!
Yani nilishangaa sana jamaa anavyo watukana wewe na lukelo sakafu!


Kumbe watu wanachukulia serious sana kiasi hiki...
 

Makamanda wako juu acha waendelee kuwakeshea.

Alafu kama amewatukana nifah na lukelo sakafu huyo lazima atakuwa mwaflani tu! Teh subiri muone watu huwa hawakawii kujichanganya kwenye comments labda wasitishe hilo zoezi lao!
 
Last edited by a moderator:
I
Oohooo....wanakukubali sana.
 

Wewe umejuaje kuna comments hajaachia?I smell something
 
Millen huyu huyu wa Magesse??
Aiseee

Huyo Huyo he he mange alimzukia kupigana nae. Hahaha japo unamtetea my wema ila mange una mapito. Wewe ndio umejua kuishi duniani kama binadamu bila unafiki ( yani kuonesha sisi ni wanadam na si malaika....umeishi ukionesha ule ubinadam haswaaaaaa sio wengine sie hata tukiuziwa unalia nayo kinafiki kuogopa watanionaje).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…