miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Ha ha ha wapo humu humu.....hatari jamani.Hao wanaochamba u turn wanasahau kuwa Mange mwenyewe mambo mengine anatafuta utetezi tokea JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwanini Mange hawezi kumuanika Mwamvita Kama anavyofanya kwa hao wasichana wengine
CC..Mrembo by Nature!
Mi nita-bet kwa Linda.
Mrushaji lazima yupo hapa kijiweni jf kwa sana tu.
Tena unaweza kuta kule anatetea huku anaponda....
Linda atapigwa hahaha wenye midomo mirefu huwa kupigana hawawezi
Kuna mtu anajiita nifah kimavi kule kwa sintah.
Nimekupata kuhusu mambo ya udhamini sio....lakini mbona anamchana kweli kaka January.Pale ndio panashikilia blog ya uturn. Umbea utaupata wapi mwamvita akivurugwa?
Hahahahaaaaa jamani haya mambo sasa yanachekesha badala ya kukera.Acha wafurahie ubunifu wa id's zetu maana hawana jipya zaidi ya kufuata nyayo zetu.
Mrushaji lazima yupo hapa kijiweni jf kwa sana tu.
Hahahahaaaaa jamani haya mambo sasa yanachekesha badala ya kukera.Acha wafurahie ubunifu wa id's zetu maana hawana jipya zaidi ya kufuata nyayo zetu.
Hahahahaaaaa jamani haya mambo sasa yanachekesha badala ya kukera.Acha wafurahie ubunifu wa id's zetu maana hawana jipya zaidi ya kufuata nyayo zetu.
Msipate shida list hii hapa.... Wengine sikiwajua kabisa. Kumbe walishea dyudyu na millen
Halafu nimegundua huyo mtu ni binti na yupo humu humu....na aisee atoa matusi kule daa hadi nilipo pita nikayaona nilimuonea huruma sana na sikujua kama kuna watu wanachukulia serious sana mambo ya kwenye mitandao!
Yani nilishangaa sana jamaa anavyo watukana wewe na lukelo sakafu!
Kumbe watu wanachukulia serious sana kiasi hiki...
The man he is never sincere na anacheza na siasa ambayo inagusa maisha ya kila mtanzania .JK kama angalikuwa real anagali waambiwa watu wake Bungeni waunde kamati ya Zitto kama alivyotaka . Lakini yeye kwa mawazo alidhani anaujenga Upinzani kama haki ile ingalitolewa .
Ameshindwa kusema kwamba pressure ya Wapinzani imepelekea wahisani kumpa Ultimutam na akaahidi kusema haya kwenye mkutano Dodoma baada ya kumaliza kikao nao .Hii anwapoza hawa jamaa lakini si maamuzi yake yeye na CCM.
Waliodai haki hii ni Wapinzani mana wananchi hawajasikika kokote kwa kuwa hawana platform ta kusemea leo anashindwa kuwa jasiri na kuwapa credit badala yake anamwachia Makamba anarusha matusi mbele ya wageni wao.
Maamuzi yake yanapingaa sana na maneno yao Bungeni .Je do we still need to trust them ?
Swala la mikataba si la kisiasa yeye kalifanya kuwa la siasa .Kuibiwa uchumi wa Nchi is a serious thing na watu kuweka mikataba mibaya hawa hukumu yao si Kizota ama wapi bali Mahakamani.
Poleni sana
Mange hakuweka evidence za chanzo cha tatizo ili kulinda reputation ya Nancy. Tena amebana comments hasa. Angeamua kuziachia Nancy asingekuwa anatoka ndani. Anajifanya decent kumbe holaaa. Alafu mijitu iko "wema awe kama Nancy" awe kama Nancy my foot..
Haya ndio mjue in and out za Huyo mnaemsifia daily. Pale ni faraja kotta tu ndio asimame anyoishee waovu mikono.
Millen huyu huyu wa Magesse??
Aiseee