Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Mambo tunayoyashuhudia mashariki ya kati ,Ulaya na Asia ni dalili tosha kuwa binadamu akipanga na Mungu anakuwa na mpango wake ulio bora zaidi ambao umejificha.
Kwa wingi wa silaha walizonazo wababe wa dunia na mbwembwe walionza nazo kila mmoja alitaraji kumaliza vita baada ya muda mfupi ifuatiwe na misifa kutoka kwa watu wa kila pembe duaniani.
Matokeo yake kila mmoja yuko hoi na anatafuta suluhu kutoka kwa adui aliyetaraji kumshinda mapema.
Zaidi ya hivyo kuna ugomvi wa aibu baina yao wenyewe kwa wenyewe.Mawaziri kadhaa na makamanda wa Israel wamejiuzulu baada ya kushindwa kuimaliza Hamas.Upande mwengine Trump anagombana na wenzake wa Ulaya waliokuwa kitu kimoja hapo zamani kuzipiga nchi kadhaa za kiislamu kwa visingizio vya uongo.