Ugomvi wazuka kati ya marafiki wakubwa Munalove na Wema sepetu

Endeleeni kumuombea,huenda Kaniki itageuka Nyeupe...hakuna kinachoshindikana chini ya jua
 
Inzi pia anajua kuwa maisha ni za kuambiwa changanya na za kwako.
 
ni shida wema

anapenda kunyenyekewa kama mungu mtu !
halafu nimegundua timu wema ni vitoto vidogo visivyo na lifeee


ndo maana Milly mtu mzima alijitoa wengine wale wapuuzi tuuu wasio na kipato chochote zaidi ya kutegemea matangazo ya IG wale!
Kumbukumbu zangu zinanionesha kama na wewe ulikuwa shabiki wa Wema
Au ulisha toka!??
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kiss by wema sepetu zimetua Canada lol
rubii siku hizi kiss unanunua wapi tena
 
mie naona wote wachawi tu hao,wanaishi kwa ndumba na ngai
 
niliachaga utimu kitambo Sana'a..

nashabikia msanii yoyote yule anayejituma vzr

utimu ni utumwa tu!!
Usjali halafu wewe hukuwa timu ulikuwa shabiki wa kawaida
Maana ukiwa kwenye timu hadi mwenye timu anakuwa ana kujua
Kushabikia mtu si mbaya, sema kumshabikia wema sjui unakuwa unashabikia kitu kipi anacho fanya!!
Ika ukiwa shabiki kuacha ni kazi vijielement huwa vinabaki, kwa hiyo huwezi sema unasapot wasanii wote lazma upendeleo upo[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…