Hahahaha ila jamani kuna ukweli in a way. Mimi sijivungi nampenda kweli Wema maskini sema akili yake kama maziwa mgando, yaani ****** sijawahi ona. Hadi mamaake anasema kabisa Wema ana akili nzito! Alafu anapenda tu starehe sio kufanya kazi. Mamaake anamuambia afanye kazi sasa hivi akizeeka hatoweza, na ashukutu ana mama wa kumuasa ila ndo maskini skio la kufa haliskii dawa. Ananiudhi tabia ya kushinda mitandaoni hata hao wagunduzi wa mitandao hawashindi mitandaoni hivyo kuexpose maisha yao. Wema ni kama hajiwezi bila kiki ya mashabiki! Sasa akizeeka sijui atakuwaje maskini. Kingine kinaniudhi ujinga wa kuweka maisha yake ya kimapenzi motandaoni, for what jamani?! Yaani tabu tupu aisee. Ila nampenda maskini[emoji22]