Ugomvi wazuka kati ya marafiki wakubwa Munalove na Wema sepetu

Ugomvi wazuka kati ya marafiki wakubwa Munalove na Wema sepetu

Hahahaha ila jamani kuna ukweli in a way. Mimi sijivungi nampenda kweli Wema maskini sema akili yake kama maziwa mgando, yaani ****** sijawahi ona. Hadi mamaake anasema kabisa Wema ana akili nzito! Alafu anapenda tu starehe sio kufanya kazi. Mamaake anamuambia afanye kazi sasa hivi akizeeka hatoweza, na ashukutu ana mama wa kumuasa ila ndo maskini skio la kufa haliskii dawa. Ananiudhi tabia ya kushinda mitandaoni hata hao wagunduzi wa mitandao hawashindi mitandaoni hivyo kuexpose maisha yao. Wema ni kama hajiwezi bila kiki ya mashabiki! Sasa akizeeka sijui atakuwaje maskini. Kingine kinaniudhi ujinga wa kuweka maisha yake ya kimapenzi motandaoni, for what jamani?! Yaani tabu tupu aisee. Ila nampenda maskini[emoji22]
Endeleeni kumuombea,huenda Kaniki itageuka Nyeupe...hakuna kinachoshindikana chini ya jua
 
Na yote hii ni sababu ya wema kuskiza sauti za watu kisa eti mashabiki! Yaani wema hajui kuwa miluzi mingi humpoteza mbwa! Saa hizi angekuwa katulia tulii na diamond anakula bata maskini maana diamond alikuwa anampenda sana eti wema akamuacha kisa hashtag za mashabiki si ujinga ni nini jamani. Sasa ukute inamuuma kweli kuona mwanamke mwingine ndo anafaidi matunda ya diamond
Inzi pia anajua kuwa maisha ni za kuambiwa changanya na za kwako.
 
ni shida wema

anapenda kunyenyekewa kama mungu mtu !
halafu nimegundua timu wema ni vitoto vidogo visivyo na lifeee


ndo maana Milly mtu mzima alijitoa wengine wale wapuuzi tuuu wasio na kipato chochote zaidi ya kutegemea matangazo ya IG wale!
Kumbukumbu zangu zinanionesha kama na wewe ulikuwa shabiki wa Wema
Au ulisha toka!??
 
Usinikumbushe kuhusu Lipstic jamani[emoji38][emoji38]!!
Zile Lipstic zilikuwa zinafata nyayo za show ya Diamond ya fromtandaletotheworld[emoji38]!Diamond alikuwa akienda ujerumani kwenye show basi siku ya pili Wema na yeye anatangaza lipstic zake zimefika Ujerumani[emoji23]!

Nassibu alikuwa akiperform Canada basi na Kiss za Wema utasikia zimetua Canada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!

Wallah Wema mungu akuweke hai zaidi nizidi kucheka mimi[emoji38][emoji38][emoji38]maana ni zaidi ya Kansiime..
😀😀😀😀😀
Kiss by wema sepetu zimetua Canada lol
rubii siku hizi kiss unanunua wapi tena
 
Mjini kuna mambo?Kuhangaika kote huko eti ili amuweke wema na mama yake mkononi!
WTF?

Ninachokijua mimi ni kwamba Wema na Muna kama wamepoa hivi...na anataka (wema) kurudisha majeshi kwa mama kuki (Aunt)
Nadhani Aunt na Muna haziivi,hivyo mahaba yale ya Wema juzi kwa Aunt...
Heheeeee

Kingine Wema naona anajenga ukaribu sana kwa waliokwisha kujiweka kwa Zari (Refer China trip with Wolper,na sasa Aunt)
mie naona wote wachawi tu hao,wanaishi kwa ndumba na ngai
 
Huyu Dada kajiharibia mwenyewe,tena alipata mtu anayeendana nae, wote walikutana ni watu wa KIKI na show off kibao.
images
 
niliachaga utimu kitambo Sana'a..

nashabikia msanii yoyote yule anayejituma vzr

utimu ni utumwa tu!!
Usjali halafu wewe hukuwa timu ulikuwa shabiki wa kawaida
Maana ukiwa kwenye timu hadi mwenye timu anakuwa ana kujua
Kushabikia mtu si mbaya, sema kumshabikia wema sjui unakuwa unashabikia kitu kipi anacho fanya!!
Ika ukiwa shabiki kuacha ni kazi vijielement huwa vinabaki, kwa hiyo huwezi sema unasapot wasanii wote lazma upendeleo upo[emoji1]
 
Back
Top Bottom