Ugonjwa unaomsumbua bwana yule unatokana na laana za kula jasho la watu

Kwanini kama ni fimbo Mungu asimpige Kusaga maana Jide aliwahi kusema kuwa hakuna mtu mfitini kama Kusaga.
 
Alikula hela ya nani mfano
 
Dah mwana dunia hii we iangalie tu, chunga mdomo wako
 
Inamaana Lady Jaydee aliposema waisiende kumzika alijuwa wao watakuwa wakwanza kuzikwa kabla hawajamzika? Watu wanamafumbo jaman
 
Ukimwi huo, na ataondoka na wengi.Kijana alijua kutembeza rungu bila condom.
Dah..halafu alimla dem mmoja hivi wa jamaa wa CRDB...ambaye ana dem mwingine IFM...naye ana bf palepale chuoni ...ambaye naye anatoka na Dem mmoja hivi jina simfaham ila ninachojua ni mchepuko wa jamaa yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daaah aiseeeee Remember Karma my niqqa,kwanini ufurahie Mr X akiteseka? Mie mwenyewe nilimpinga Mr X kipindi alivyokuwa na ugomvi na Binti Wa KUKOJOZWA na Mzee wa Hiphop MJENGONI lakini kwa sasa Mr X nampa pole inshallah mungu atamponya,nadhani akirudi atakuwa mwingine tena,mabeef yote na wasanii yataisha.
 
Hujafa hujaumbika. Wewe hapo unaumwa nini sema kweli [emoji850][emoji40] Miili yetu hii huwezi kumnyoshea mtu kidole. Tu wadhaifu sana kuhukumu
Subiri Boss wao na yeye aanze kubugia MBAAZI aka NJUGU aka MINJINGU aka DOZI maana amepita sehemu zenye makorongo.
 
Dah..Shangilia kwa furaha sana KAMA ulihusika kumpa sumu au kusaidia kwa namna yoyote juu ya maradhi yanayomsibu kwani kazi yako imefanikiwa....IKIWA haukuhusika kwa lolote lile...basi jijue wewe ni DHAIFU sana... hopeless..[emoji41]
 
Sio mtu yoyote ni mtu yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…