Ugonjwa unaomsumbua bwana yule unatokana na laana za kula jasho la watu

Unafurahia shida za mtu kwamba wewe ndo utapata chakula, nyumba na gari nzuri anapoteseka?
 
Maradhi ni ibada,ni mitihani ya mwenyezi Mungu tu,ni moja ya njia ya mwenyezi Mungu kutukumbusha sisi binadamu kua yeye yupo na ni yeye pekee anayepaswa kuabudiwa kwa haki,hata mitume wa Mungu walikua wakiugua pia,

Mleta mada acha kumkufuru Mungu au kuhukumu binadamu wenzako,dunia ni mapito tu,
jiheshimu,
heshimu wenzako.
kisha mpende Mungu,
mwisho wa siku wote tutakufa hakuna atakaye ishi milele,

Mungu awaponye wote wenye maradhi in sha Allah.
 
Brother nikwambie kitu....ukitaka Mungu akutazame mara mbili....basi msamehe na umuombee aliyekukosea ....ki roho safi
 
Ila yule jamaa alikuwa balaa jamn kwanza alkuwa malaya sanaa, pili alkuwa anawaibia sana wasanii inasemekana pia alkuwa anawagegeda wasanii wakiume na wengine kuwabebesha madawa, jamaa yule si mtu mzuri hata kidogo, kwel hata sie tutaumwa na kufa lkn yule jamaa lazma mungu amfunze, ushawah kuona mtu mchawi anavoteswka kabla ya kufa anaropokwa mpk aliowauwa sasa jamaa yule atajuta sana kwa aliyotenda kabla ya kufa....
 
Hivi ARV huwa zinakataa baadhi watu au vip??
Kwa nin akongoroke wakati mashudu ya nguruwe yapo????
 
Mdogo wangu ambaye ni malehemu, alikuwaga na kigugumizi, jirani yetu mmoja alikuwa kila wa kigombana alikuwa anamuita jina Lake na kumalizia bubu, yaani ana sema ndo maana fulani bubu wewe, ajabu jirani huyu kaja kuzaa mtoto bubu kabisaaaa, chunga mdomo wako
 

mtoto wa kiume kuongea maneno ya kike uvishwe khanga tu kilichobaki
 
Maradhi ni mabaya ...tumuombee apone ila sijui atawaombaje msamaha alio waumiza!
kuishi dunia hii ..kwa kiburi
si vyema!
 
Ukimwi huo, na ataondoka na wengi.Kijana alijua kutembeza rungu bila condom.
😳😳😳 sio ini?kijana alitupa tabu sana sie team Makonda,cha moto tulikiona japo tulivuka salama.acheni Mungu aitwe Mungu dah
 
Binadamu ni kiumbe wa ajabu sana katika huu ulimwengu. Unafurahia matatizo ya mwenzio as if wewe siyo binadamu..?

Halafu wewe jamaa utakuwa na vinasaba vya cleopatra sikuelewagi.
Tuliza kende....
Najuta hata kufungua huu uzi..!!
Tabia za kufurahia matatizo ya wengine yapo Africa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…