hayapo ukifuata stringent rules thereupon! ukilegea yapo! Hivyo si vizuri kusema MTCT haipo, this is a blancket dangerous statement! au wasemaje victoire?Siku hizi maambukizi ya kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto hayapo tena. Thanks to the medical science.
We ndo manfki.Sijamtaja Ruge hapo, acha uchonganishi kijana.
Sanaaaa
Sidhani ndiyo sababu ya kupata ugonjwa. mbona makatili wakubwa hawana magonjwa. Watu zaidi ya 1,000 wameuawa MKIRU mbona wauaji wanatesa kishenzi na madaraka kedekede! Waliompiga Lisu risasi mbona Mungu hajawaona kuwapa maradhi! Ni coincidence tu! VictoireUgonjwa unaomtesa na kumnyoosha vilivyo Mr X kutoka taasisi fulani ya masuala ya muziki unachagizwa kwa kiasi kikubwa na laana za kuwadhulumu jasho lao wasanii mbalimbali hapa nchini kwa kujifanya Mungu mtu.
Yani atazidi kukongoroka zaidi ya hapo, kwanza alinyanga'nywa demu wake suala ambalo lilimpa pigo takatifu ,pili kilio cha muda mrefu cha wasanii mbalimbali waliokandamizwa na Mr X kwa masilahi yake binafsi kimesikika kwa Mungu sasa Mungu ameamua kumuadhibu Mr X kwa unyama aliokuwa akiufanya kwa watu mbalimbali maana Mr X ni mtu mwenye roho mbaya sana japo ukimuangalia usoni anaonekana mpole mpole.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mr X kibao kimemgeukia sasa hivi anapata tabu sana ,sisi wengine tunafurahi vilivyo jinsi anavyoteseka ili liwe funzo kwa wengine.
kama alivyowakumbusha sodoma na gomora au garika ya nuhu!!?Samahani, huyo mudy mtu wa ajabu, watu wana akili mavi! Mungu hawawezi kutumia njia nzuri kuwakumbusha kuwa yupo?
Ndiyo masharti lazima yazingatiwe, kumbuka mwanzoni uwezo/masharti hayo hayakuwepo. Watoto wengi waliozaliwa miaka ya 90 na elfu mbili mwanzoni wengi waliambukizwa virusi na mama zao wenye maambukizi tayari.hayapo ukifuata stringent rules thereupon! ukilegea yapo! Hivyo si vizuri kusema MTCT haipo, this is a blancket dangerous statement! au wasemaje victoire?
Huyo siyo Mumgu ni shetani.Mungu ni wa wema na si mateso ndiyo maana nasema Mungu hayupo, ni story za watawala kuwa contain watu wawatawale vizuri!kama alivyowakumbusha sodoma na gomora au garika ya nuhu!!?
yesu alisulubiwa na watawala wa kirumi..iweje useme dini ipo kwa ajili ya watawala?..hata mtume aliteswa na kufukuzwa mji na watawala..hoja yako mbona ipo kinyume?Huyo siyo Mumgu ni shetani.Mungu ni wa wema na si mateso ndiyo maana nasema Mungu hayupo, ni story za watawala kuwa contain watu wawatawale vizuri!
Tuko pamoja, lazima masharti yazingatiwe!Ndiyo masharti lazima yazingatiwe, kumbuka mwanzoni uwezo/masharti hayo hayakuwepo. Watoto wengi waliozaliwa miaka ya 90 na elfu mbili mwanzoni wengi waliambukizwa virusi na mama zao wenye maambukizi tayari.
Mkuu hizi dini hasa ya huyu Mudy ina mambo ya ajabu,unamkuta mtu na ndevu zake anaamini kabisa,dini Ni utumwa wa kifikraSamahani, huyo mudy mtu wa ajabu, watu wana akili mavi! Mungu hawawezi kutumia njia nzuri kuwakumbusha kuwa yupo?
exactlyMkuu hizi dini hasa ya huyu Mudy ina mambo ya ajabu,unamkuta mtu na ndevu zake anaamini kabisa,dini Ni utumwa wa kifikra
dini inakufanya ufikiri...na si kama unavyodai,labda dini ya wazungu ndo inazuwia kufikiri..Mkuu hizi dini hasa ya huyu Mudy ina mambo ya ajabu,unamkuta mtu na ndevu zake anaamini kabisa,dini Ni utumwa wa kifikra
Mkuu Nina point Zaid ya 10000 za kuikosoa hiyo Quran yakodini inakufanya ufikiri...na si kama unavyodai,labda dini ya wazungu ndo inazuwia kufikiri..
Haya nenda kalale sasa maana upupu uliokua unakuwasha umesha umwagia hapa.Unajua mudy anawapotosha Sana,eti maradhi Ni ibada??? Acheni utumwa wa kidini nyinyi,hivi mnafikiriaga kwa kutumia nini??? Ama kweli dini ni upofu
Mkuu naheshimu imani yako, lakini Quran ina kasoro na upumbavu mwingi Sasa kwa nini nisikwambieHaya nenda kalale sasa maana upupu uliokua unakuwasha umesha umwagia hapa.
Ndio maana nikakushauri ukalale tu coz nakujua upstairs wewe ni mweupe,yaani empty! hata ukifahamishwa ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa tu,ule uzi wako wa Pakistani ndio uliokuweka wazi,endelea kuamini unachokiamini,hakuna aliyekulazimisha kuamini vya wenzako,jaribu kua na akili iliyokomaa na si akili yakitoto.Mkuu naheshimu imani yako, lakini Quran ina kasoro na upumbavu mwingi Sasa kwa nini nisikwambie
Mbona hatari!!Ukimwi huo, na ataondoka na wengi.Kijana alijua kutembeza rungu bila condom.
Hapo kwenye red mbona hatari!?Ila yule jamaa alikuwa balaa jamn kwanza alkuwa malaya sanaa, pili alkuwa anawaibia sana wasanii inasemekana pia alkuwa anawagegeda wasanii wakiume na wengine kuwabebesha madawa, jamaa yule si mtu mzuri hata kidogo, kwel hata sie tutaumwa na kufa lkn yule jamaa lazma mungu amfunze, ushawah kuona mtu mchawi anavoteswka kabla ya kufa anaropokwa mpk aliowauwa sasa jamaa yule atajuta sana kwa aliyotenda kabla ya kufa....