Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Kuna watu wengine ndio walivyo. Haijalishi hali yake ila badoNimeongelea angle aliyoelekeza mtoa mada, kwanza siamini kama. Mgonjwa serious wa figo anaeza waza ngono badala ya dialysis.
By the way kisukari kinasababisha figo kufeli pia.
Having kidney diseaese is not a death sentence mzee. Now nina elimu kubwa jinsi ya kuishi na ugonjwa huuBinadamu ni kiumbe kibishi sana!
Unaumwa figo halafu bado unawaza mambo ya uzinzi mzee,ilibidi uwe karibu sana na kutenda mema maana wewe tayari unayo ticket mkononi(though wote tunazo)
37Una age gani mkuu??
Sasa mkuu utawaza dialysis muda wote wakati ratiba ya kwenda si inajulikana. Hiyo dailysis ni moja ya factor inayosababisha kuwa na low sex driveNimeongelea angle aliyoelekeza mtoa mada, kwanza siamini kama. Mgonjwa serious wa figo anaeza waza ngono badala ya dialysis.
By the way kisukari kinasababisha figo kufeli pia.
Ni kweli huna sababu ya kujitenga ni muhimu ufurahie maisha na yaendelee.Having kidney diseaese is not a death sentence mzee. Now nina elimu kubwa jinsi ya kuishi na ugonjwa huu
Sawa sawa. The cause ya hiyo Hypertension ilijulikana? na ilikuwa uncontrolled for how long?
Lazima uendelee na maisha huwezi kuwaza ESRD na Dialysis muda wote.Sasa mkuu utawaza dialysis muda wote wakati ratiba ya kwenda si inajulikana. Hiyo dailysis ni moja ya factor inayosababisha kuwa na low sex drive
Upo Dar au?
Pole mkuuDaaah! Ama kweli hujafa hujaumbika
Nilikutwa na shida ya figo na nikapata taarifa kwamba itafika kipindi mzuka wa kula papuchi utaisha.
Jana nimepata demu pisi kali nakwenda nae ghetto mgejege umegoma kutoa ushirikiano nikajua tayari CKD ishafanya yake
Jamani tunzeni figo zenu maana athari moja wapo ya huu ugonjwa ni kushindwa kula mzigo ipasavyo. Unachomeka vizuri unashangaa imelalamo ndani huko huko unabaki kuaibika tu.
Enzi zangu nilikua mtu wa show kali sana ila kwa sasa aaaah! Ngoja niwe single tu.
Nliambiwa ni pressure ya kurithi na tangu hapo sikuwahi kutumia dawa kabisa kwa miaka 5 so inaonekana ilianza kuharibu figo mdogo mdogo maana dalili huzioni hadi siku figo imechoka kabisa ndo unaanza kuumwaSawa sawa. The cause ya hiyo Hypertension ilijulikana? na ilikuwa uncontrolled for how long?
Upo Dar au
GeitaUpo Dar au?
Sawa sawa.Nliambiwa ni pressure ya kurithi na tangu hapo sikuwahi kutumia dawa kabisa kwa miaka 5 so inaonekana ilianza kuharibu figo mdogo mdogo maana dalili huzioni hadi siku figo imechoka kabisa ndo unaanza kuumwa
Sawa mkuu Mungu ni mwema atakufanikisha.Geita
Kwamba watanzania tuna extra pair of chromosomes ya ngono sio? Acha zako mkuu binadamu wote wameumbiwa kufanya ngono kama njia ya kuzaliana na starehe. Ebu fatilia population density ya dunia halafu rudi tena useme watanzania tunawaza ngono tu, sababu product mojawapo ya hizo ngono ni kuzaliana. Je tunawazidi idadi ya watu DRC walio na vita miaka nenda rudi?Nahisi hiyo figo hajafikia pabaya maana mtu mwenye ugonjwa wa figo, kila muda anahofia uhai wake kuliko kuonesha ufundi kitandani.
Sometimes huwa najiuliza hivi tukitoa ngono watanzania tunabaki na nini cha kufikiria na cha kukihofia.
Hata hivyo acha niwaache wafu mzikane
Mkuu siyo kwa ubaya,mimi nimekukumbusha tu usijisahau sana najua hata mimi natakiwa nisijisahau pia.Having kidney diseaese is not a death sentence mzee. Now nina elimu kubwa jinsi ya kuishi na ugonjwa huu
Kwamba watanzania tuna extra pair of chromosomes ya ngono sio? Acha zako mkuu binadamu wote wameumbiwa kufanya ngono kama njia ya kuzaliana na starehe. Ebu fatilia population density ya dunia halafu rudi tena useme watanzania tunawaza ngono tu, sababu product mojawapo ya hizo ngono ni kuzaliana. Je tunawazidi idadi ya watu DRC walio na vita miaka nenda rudi?