Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Kuna watu wengine ndio walivyo. Haijalishi hali yake ila badoNimeongelea angle aliyoelekeza mtoa mada, kwanza siamini kama. Mgonjwa serious wa figo anaeza waza ngono badala ya dialysis.
By the way kisukari kinasababisha figo kufeli pia.
Wanaenda kwenye mambo hatarishi. Ni mfano wa wagonjwa wa TB ila anaendelea
kuvuta sigara na pombe kali N.k wengine hawachukulie uzito unao chukulia wewe?