Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

Leo kwenye kipindi cha kina zembwela chumvi,mende na ndimu wamezungumzia pia kuna chumvi mpya inatumika sana sasahivi hiyo inapiga moja kwa moja kwenye figo
 
Kisa pombe na energy drink uhatarishe maisha yako 🤔🤔 acha wafe tuu washenzi kabisa hao kwa sababu ukiwashauri utaambulia kutukanwa tuu
 
Ukisema TBS wafanye kazi yao kwa weledi na viwanda vya vinywaji viweke viwngo stahiki za kemikali utaambiwa mchochezi au unasumbua wawekezaji
 
Umenena vema
 
Haya ma energy drink yameshathibitishwa ni hatari lakini viwanda vyao hapa bongo ndio vinachipuka kama uyoga na Kodi wanachukua, vinjwaji havijaandikwa tahadhari kama pombe Wala sigara . Naishauri serikali ifute vinjwaji hivi hatari na viwekwe kwenye orodha ya madawa ya kulevya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…