Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

Nilimsikia mwana mmoja anasema anapiga bonge la ugali na nusu kitimoto, nyagi mixer energy alafu aasukumia na viagra na kupaka vumbi la congo.
Sasa huyo si anaenda kufanya mapenzi ama kujiumiza maana hapo akitumia vyote hivyo anakua si yy tena akili lazima iyumbe ndo hawa wanafia vifuani mwa wanawake
 
Tunathakini Sana Kodi kuliko maisha ya watu wetu. Tunasubiri nini kuvifungia hivi vinywaji wakati vijana wetu walio nguvu kazi ya taifa wakiteketea? Itafika wakati tutakuwa tumechelewa kwani mdharau mwiba huota tende.
Perhaps
 
Pombe chafu na feki serikali ndio imezifumbia macho kabisa[emoji849]
Ni kweli, maana hata kufahamu wanaouza hizo pombe feki ni rahisi sana. BEI ZAKE TU NI KIELELEZO KUWA HIZO POMBE NI FEKI. Huyo kiongozi asiseme kuwa ni vigumu kuwakamata wanaojihusisha na biashara hiyo.

By the way, POMBE ni haramu, hayo yalishasemwa. Huhitaji hata utafiti. Karibuni katika kundi letu, Zero tolerance juu ya pombe.
 
Ni kweli unachokisema, ila sitakuja kwenye hilo kundi lenu mliloambiwa pombe ni haramu, ila asante sana kwa mwaliko wako 🙏🙏
 
Tumezuia Bhangi na Unga kwasababu ni hatari kwa Afya ya binadamu, kama tumekubaliana energy drinks na pombe nazo ni hatari kwa maisha ya mwana damu tuzipige marufuku nazo.
 
Tumezuia Bhangi na Unga kwasababu ni hatari kwa Afya ya binadamu, kama tumekubaliana energy drinks na pombe nazo ni hatari kwa maisha ya mwana damu tuzipige marufuku nazo.
Energy drinks sio kweli
 
Back
Top Bottom