Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Inasikitisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana
Labda chanzo ni 👇Ongezeko la wagonjwa wa figo nchini limeanza kujitokeza miongoni mwa vijana.
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imetangaza kuwa inapokea wagonjwa wapya wanne mpaka tisa kila wiki wenye umri kati ya miaka 24 mpaka 40.
Nimeona watu wengi wakielezea hiiUtafiti ujikite huko kwenye energy drinks, maana watu wanazinywa kama maji, kuna siku niliwahi kunywa hiyo azam energy enzi hizo ndio zimeingia sokoni reaction niliyoipata ni mapigo ya moyo kwenda mbio na usiku kucha kuweweseka tu nikasema sitawahi kuja kunywa tena hizi energy drink hususani za Azam au Mo.
Tz imekuwa jalala la Vinywaji vya ovyo ,pia hizi energy za Mia 500 zina walakini mkuu.
Dah kweli mzigo unapendwaHizo energy vijana hasa bodaboda zitawaua sana.
Kuna sehemu nina kaofisi kangu ka vinywaji,naweza nikaingiza mzigo wa vinywaji let's say carton 100 za energy drinks but ndani ya siku mbili zimeisha.