Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

Ongezeko la wagonjwa wa figo nchini limeanza kujitokeza miongoni mwa vijana.

Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imetangaza kuwa inapokea wagonjwa wapya wanne mpaka tisa kila wiki wenye umri kati ya miaka 24 mpaka 40.
Labda chanzo ni 👇
 
Utafiti ujikite huko kwenye energy drinks, maana watu wanazinywa kama maji, kuna siku niliwahi kunywa hiyo azam energy enzi hizo ndio zimeingia sokoni reaction niliyoipata ni mapigo ya moyo kwenda mbio na usiku kucha kuweweseka tu nikasema sitawahi kuja kunywa tena hizi energy drink hususani za Azam au Mo.
Nimeona watu wengi wakielezea hii
 
Back
Top Bottom