Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

Kuna vitu vya muhimu huwa haiongewi na havipewi kipaumbele katika nchi hii hasa kwa upande kuwatunza vijana wetu waliopo na wanaokuja au wanaokua 1...AFYA... Ya kimwili... Hii inaegemea zaidi kwenye upande wa anachokula kijana.ambapo kijana wa sasa unakula ilimradi ashibe vakula vya sasa ukichunguza kwa makini na ukaribu uzagundua vijana wa sasa wanakula makapi sio ORIGINAL... wakati tunakua vitu vya asili ilikua ni vyote, hivi sasa kila tunda utakalokula ni pandikizi au fake sio mboga, nafaka za aina zote. Hapo kwenye nafaka ndipo kwenye hatari nyingine nafaka inachukuliwa stoo, ilihifadhiwa na vitu vya utunzaji kutokuharibika na kwenda sokoni maja kwa moja bila kuchukua safety yoyote kwa mtumiaji. Ile mbegu org kwa sasa inaelekea kupotea kabisa. OMBI langu kwa sekta husika kufanya mabadiliko makubwa... Sekta ya TBS inatuumiza sana mnaruhusu viti vyote vinavyozungumziwa kwa sasa...
 
Kisa pombe na energy drink uhatarishe maisha yako [emoji848][emoji848] acha wafe tuu washenzi kabisa hao kwa sababu ukiwashauri utaambulia kutukanwa tuu
Hizo zote ni addiction mkuu,kama tu mihadarati mingine,ukimuuliza teja yeyote kama angependa kuendelea kutumia madawa ya kulevya atakuambia jinsi anavyotamani aachane nayo kabisa,ila inamuwia vigumu mno kuacha,mtu ambaye tayari ni addicted anahitaji zaidi msaada kutoka kwa jamii kuliko kumwombea kifo.
 
Denmark na Norway ni marufuku Red Bull
Na nchi nyingi wamepiga marufuku aina kadhaa za energy drink kama Canada

Nyie ni sikio la kufa mara maajali ya kila siku mara Figo yaani hamuambiliki
Madokta wakisema mnawafukuza kazi kisa mna ubia
Yaani nyie mnauwa watu tu kwa biashara chafu
Vijana na nyie energy unaona inaku boost ila madhara yake ni hospital tu
 
Hivi vipombe vya buku buku ni hatari kwa kweli,na serikali inajua,waziri wa afya ni mwajiriwa wa serikali,kuna katibu wa wizara,naye ni mtaalamu wa afya,kuna mganga mkuu,wote hawa wanajua tatizo lilipo,na wana access na serikali kuu,kwa nini wasiishauri serikali izipige marufuku bidhaa hizo hatarishi? Doctor Shija naye analalamika badala ya kuishauri serikali ichukue hatua ili kuondoa tatizo hilo for once and for all.
 
Kuna wahudumiaji walisomeshwa kwa kodi za wazee wetu ,,halafu hakuna faida yoyote tunayoipata kama taifa ni wachache sana na hao wameeekewa nini hawasemi japokuwa wanaona
 
Energy drink
Pombe
Ngono (sababu nyingine ni matumizi ya yale madawa.... yanaathiri figo. Siku hizi watu wakifa inatajwa sana figo. Mjiongeze)
 
Huyu jamaa ni tapeli tu,kila sawa anasema anayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…