Ugonjwa wa Gauti(Gout): Chanzo, Dalili na Tiba yake

Kunywa lodwar n dawa ya kimasai ila utaipata umasaini c twn inasafisha kila ki2 mwilini n kuondoa sumu
 
Mpka umasaini lazma uharishe mana ndio kutoa sumu huko ila unakunywa maziwa fresh.tatizo wamasai wa twn wanauza magome ya miti c dawa kma unaweza tafuta wamasai huko tanga au bagamoyo wale wafugaji ndio wanajua hii dawa
 
Nitafute kwa wakati wako ninayo Dawa ya hayo maradhi ya Gout nitumie email baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com

Vipi mzima ndugu?
 
Mpka umasaini lazma uharishe mana ndio kutoa sumu huko ila unakunywa maziwa fresh.tatizo wamasai wa twn wanauza magome ya miti c dawa kma unaweza tafuta wamasai huko tanga au bagamoyo wale wafugaji ndio wanajua hii dawa

Hapo ndipo ugumu unapokuja mkuu.
 
Mie nasumbuliwa sana na hili tatizo ila nyama siachi iwe nyekundu,nyeupe,njano,blue n.k
 
Vipi mzima ndugu?[/QUOTE]

Mzima wa afya, nashukuru kwa kunijulia hali kiongozi

Ahsante sana
 
Shemeji nenda ITM hapo muhimbili kuna dawa tena za mitishamba ambazo zimekuwa researched na ni nzuri sana sana.

Itapona kabla hata ya kumaliza dozi, ila tu unapoitumia lazima ujitahd kula manake kama ni mvivu wa kula itakusumbua kidogo.

ITM ni institute of traditional medicine, ingilia hili geti la shule sio la hospitali. Wewe ukifika tu pale reception muulizie mdada anaitwa Ester ni DR mwambie tatizo lako hakika litakwisha
 
Naomba ufafanuzi hapo kwa blue mamito, kabla sijaleta dhoruba kubwa kuliko mafuriko......
 
Msaada wakuu dawa ya gauti nimezunguka mahospitalini sijapona nikaenda kwa wamasai wizi mtupu. Msaada wako mkuu MziziMkavu

Dawa ni kuacha, kama si kupunguza kula red meat kwani ndio chanzo kikubwa cha ugonjwa huo.
 
Last edited by a moderator:

Ahsante sana shemeji ngoja niwafuate nitakupa majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…