Ugonjwa wa ghafla na changamoto ya kutembea

Mungu atusaidie sana.
 
Aiseee km ni kweli sisi si chochote mbele zake ghafla mabadiliko makubwa ya kimwili.
 
Pole sana gentleman,

mwaka huu mpya,
make sure una bima ya Afya na unanunua gari ndogo ya familia,

bodaboda na biashara ya soya beans ya tani zaidi ya 100, haviendani kabisa, πŸ’

mwaka huu usipite bila kupokea muujiza wako, na Mungu wa Neema na Baraka akufanikishe, Aimen πŸ™
 
Nashukuru mkuu ninazo mbili i.s.t moja na nyingine ni Carina nimei nunua mwaka Jana nazitumia Kama taxi

nilizi nunua baada ya kuijenga nyumba mdogo niliyo anzia maisha

lakini kuhusu gari mpya ya kumtembelea

nilikuwa nafikilia kununua vanguard lakini nikaona kwanza nijenge kwanza nyumba kubwa ambayo ndiyo naijenga saizi nimeianza mwezi wa Tisa mwaka jana

Ilinangalau iendane na gali

Kwahiyo zipo na niliwapigia madreva zangu japo skutaka kuandika hili

mmoja alisema Ana mpeleka mteja na mwingine akasema ndiyo ametoka kumpeleka mteja na ndiyo ana ludi

lakini umbali alio kuwa yupo usingetosha kwa Hali niliyo kuwa nayo

Nashukulu kwa ushauri nanmaombi mkuu japo pia kupanda boda sio dhambi πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…