Ugonjwa wa ghafla na changamoto ya kutembea

Pooleee sana kaka....daah hii miili yetu ni balaa
 
pamoja sana ndugu,
na nimefurahi zaidi ikiwa unazo gari na zinafanya kazi, halafu unapanda bodaboda, huo ndio uanaume kamili sasa gentleman,

I hope uko poa now,
japo huenda haya yote niliyoyaibua yako sehemu ya pili ya simulizi ya mkasa wa kiume wa kiafya ulokupata ukiwa kazini kutafuata kitu pesa
 
Kama si tamthilia basi una bahati sana kua hai. Yaani una tatizo la hypotension halafu tena wakakupa dawa ya usingizi? Ulitakiwa kufa muda mfupi baada ya hiyo sindano, labda huyo dakatari alitaka ufe bila maumivu lakini ukaamua kufanya miujiza ya kukataa kufa
 
Ndo anasema baada ya hiyo Sindano alizinduka/kupata fahamu baada ya siku 6

Ni hatari
 
Punguza kihere here gentleman mwenzio anapigania roho yake
 
Sema neno juu yangu mtumishi
 
ni ugonjwa gan huo?
 
Pole sana, ila ndefu...
Hapo mlokole ,kilipoanza kichefu chefu fasta angesema "shindwa pepo katika jina la Yesu" 🀣. Halaf fresh yan.
Kuna vitu vingine ninkama vya kijinga ila vina happen kwan imani
 
Pole sana jitahidi sana kunywa Maji ya uvuguvugu kila mara ukiamka asbh kabla hujala chochote .

Alafu kingine epuka hii misosi sehemu unazofanyia kazi mingi si salama kiafya kwa mfano sukari nyingi ,chumvi nyingi , mafuta mengi.
 
Punguza kihere here gentleman mwenzio anapigania roho yake
kiherehere upande gani tena gentleman,
kwa Neema na Baraka za Mungu, muungwana ni mzima wa afya kwasasa, na anachofanya hapa jukwaani ni kujaribu kututia moyo wa ujasiri sisi wadau ikiwa tutakumbana na mazingira kama hayo tuwapo kwenye shughuli na majukumu yetu ya kila siku,

pia wake zetu,
wasichukulie mzaha katika mazingira fulani wapambanaji jasiri tunapopata ulegevu wa ghafla,

so,
hakuna kiherehere wala kimbelembele gentleman kwenye simulizi hii yenye hisia kali sana πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…