Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

Mfunge mtoto mavi ya tembo na bangi atakuwa hapati degedege.
 
Pole sana mkuu Domy. Uzazi una mitihani mingi sana.....Mungu atutie wazazi wote IMANI na FARAJA katika nyakati za majaribu katika familia zetu..AMEN.

Halafu Hawa watoto wetu wa hiki kizazi kipya unakuta hana heshima kwa mzazi wake. Inauma sana. :frusty:
 

Mbona hukuweka kiwango cha paracetamol cha kutumia ili isije ikawa majanga baadaye
 
jamani naombeni munieleza degedege kwa kithungu inaitwa je?
 
zile za matakoni kwa mtoto huwa ni moja nadhani mtoto yuko below five
na zimeandikwa umri na kiwango
mtoa mada hajanipa umri wa mtoto wake.
huwa wanashauri pia akiwekewa hiyo apewe na ya kunywa

Mbona hukuweka kiwango cha paracetamol cha kutumia ili isije ikawa majanga baadaye
 

Siyo kumfunga ni kumfukiza mi niliona mama alivyowafanyia wadogo zangu unachukua sukari na mavi ya tembo na maganda ya vitunguu saumu unachoma unajifunika naye kwa shuka ule moshi ndo tiba akikohoa mtoe lakini mpaka awe na homa hata ya bangi nimewahi sikia
 

Ni kweli. Magonjwa kama degedege hayapelekwi hospitali unaweza kumuua mtoto bure.
 

Hapo sijakuelewa hata kidogo mkuu, tafadhali yushushie somo, maana mtoto kwangu mimi ndiyo kila kitu, i cant imagine mkuu, kuna wakati mtoto wangu alikuwa akisumbuliwa sana na aleji nilikuwa mpaka natoa chozi! Kaka Domy pole kaka, huo ndiyo ukubwa huo.
 
Last edited by a moderator:

Pole sana ndugu mkubwa. Umenikumbushia tukio bsya sana
 

Febrile convulsion.
NB: Advance Paediatric Life Support.
ABC + control seizures.
 

pole sana mpendwa naamini si haba ukatoa waliokujulisha kama f.aid watu wajue isiwe kwako tena wala kwangu in jesus name
 


umenikumbusha mbali ngwilukulu jilala maskini
enzi zake anatoa ushauri kumbe kunawalioutikia
 
zipo hizo dawa mkuu hata bongo zipo mwone dr wa karibu atakupa maelezo zaidi
ukienda phamarcy kubwa watakupatia
ndio tunazitumia sana huku nilipo pindi mtoto anapokuwa na joto kubwa mfano akipata bacterial infection joto linakua kubwa kama 39 au 40 unamwekea kwenyee rectum ni kama kidonge fulani kirefu ukishamwekea inashusha homa haraka sana,
Ila kama mtoto ana temp ya 37 au 38 unampa panadol au paracetamol ya kawaida unamwahisha hospital.
Hiyo ya matakoni ni emergence au kama mtoto hamezi dawa na sio ya kutumika kila wakati anawekewa kila baada ya saa 4 au 6 kulingana na kiwango cha joto lake.

paracetal zipo za tablets, caplets,capsules,oral na hii ya suppositories ambayo ndio mtoto huwekewa kwenye rectum
majina mengine ni kama Acephen, Feverall ambazo kama mtoto ana flue kali, homa, nk
madr watawapa ushauri zaidi, mimi sio dr

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…