Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole mkuu...
Pole sana mkuu..
Mfunge mtoto mavi ya tembo na bangi atakuwa hapati degedege.
pole sana
nakushauri siku zote uwe na paracetamol za kushusha homa za kuweka matakoni pindi uonapo mwanao ana joto kali
pia jenga tabia ya kumpima homa uwe na thermometer nyumbani mwako,
mtoto akilalamika anaumwa usipuuze hata kidogo.
housegirl mwelekeze pia awe makini akimwona ana joto hachezi ampe paracetal ya kunywa.
jamani naombeni munieleza degedege kwa kithungu inaitwa je?pole sana mpendwa kweli hiyo hali ni ngumu sana .degedege hutokana na homa kali ikipanda kuzidi 40 huwa ubongo unapata short. na hapo ndipo degedege hutokea.
Je alipoteza fahamu kwa muda wa dk ngapi?
mwanao ana umri gani?
je umepewa dawa gani?
je uko mkoa gani?
nipe majibu ya haya maswali ndipo nitakushauri la kufanya
Mbona hukuweka kiwango cha paracetamol cha kutumia ili isije ikawa majanga baadaye
Mmmmmh.!
Siyo kumfunga ni kumfukiza mi niliona mama alivyowafanyia wadogo zangu unachukua sukari na mavi ya tembo na maganda ya vitunguu saumu unachoma unajifunika naye kwa shuka ule moshi ndo tiba akikohoa mtoe lakini mpaka awe na homa hata ya bangi nimewahi sikia
pole sana
nakushauri siku zote uwe na paracetamol za kushusha homa za kuweka matakoni pindi uonapo mwanao ana joto kali
pia jenga tabia ya kumpima homa uwe na thermometer nyumbani mwako,
mtoto akilalamika anaumwa usipuuze hata kidogo.
housegirl mwelekeze pia awe makini akimwona ana joto hachezi ampe paracetal ya kunywa.
Ni EEG sio EGG
jamani naombeni munieleza degedege kwa kithungu inaitwa je?
Habari Wadau,
Leo asubuhi nimejikuta katika wakati mgumu pengine kuliko siku yoyote ile,Nilikuwa nimekaa na mtoto wangu akawa ananiambia baba macho yanauma,mara kichwa kinaniuma nikamgusa akawa amechemka sana mwili,nikamwambia tulia nikupeleke hospitali
Tukaendelea kupiga stor na utani mwingi,ghafla akakamaa kama mti huku akitetemeka sana,nikamwita jina akawa haitiki tena, nikamkumbatia,Nilichanganyiwa sana,Ndipo nikamkimbiza hospital lakini ametibiwa.
Nimeona si vibaya kuwashirikisha magumu yangu ya leo
Pole sana mkuu. Hiyo ni degedege (convulsions or fits) due to high fever. Anything which cause high fever in children can cause convulsions. It can be malaria (commonest cause in TZ) or any other disease which can cause high fever.
Convulsion is one of the danger sign. Whenever it occurs...immediate take your child to the hospital!
habari wadau,
leo asubuhi nimejikuta katika wakati mgumu pengine kuliko siku yoyote ile,nilikuwa nimekaa na mtoto wangu akawa ananiambia baba macho yanauma,mara kichwa kinaniuma nikamgusa akawa amechemka sana mwili,nikamwambia tulia nikupeleke hospitali
tukaendelea kupiga stor na utani mwingi,ghafla akakamaa kama mti huku akitetemeka sana,nikamwita jina akawa haitiki tena, nikamkumbatia,nilichanganyiwa sana,ndipo nikamkimbiza hospital lakini ametibiwa.
Nimeona si vibaya kuwashirikisha magumu yangu ya leo
siyo kumfunga ni kumfukiza mi niliona mama alivyowafanyia wadogo zangu unachukua sukari na mavi ya tembo na maganda ya vitunguu saumu unachoma unajifunika naye kwa shuka ule moshi ndo tiba akikohoa mtoe lakini mpaka awe na homa hata ya bangi nimewahi sikia
Hapo sijakuelewa hata kidogo mkuu, tafadhali yushushie somo, maana mtoto kwangu mimi ndiyo kila kitu, i cant imagine mkuu, kuna wakati mtoto wangu alikuwa akisumbuliwa sana na aleji nilikuwa mpaka natoa chozi! Kaka Domy pole kaka, huo ndiyo ukubwa huo.